Results for ngamizi translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

ngamizi

English

laptop

Last Update: 2022-01-09
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ngamizi gundua

English

scanner

Last Update: 2022-04-28
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

watu kadhaa walijotkeza na kumpiga vibay sana kiasi cha kupoteza fahamu na pia walichukua simu yake ya mkononi pamoja na ngamizi mpakato yake.

English

several people appeared and beat him so severely that he lost his consciousness, and they took his cell phone and laptop.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa mujibu wa mradi wa haki za binadamu wa ethiopia (ehrp), abel alipigwa na mtu kwa kutumia fimbo na mwingine aliichapa miguu yake mara kwa mara kwa kutumia waya wa kuchajia ngamizi.

English

according to the ethiopian human rights project (ehrp), he was beaten by a person using a stick, and his feet were whipped by someone using a computer plug cable.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ninachokimaanisha hapa ni kuwa, ni kwa nini wasiweke chanzo kimoja au vinne vya mtandao wa intaneti wa si-waya ili kila mmoja aweze kupata huduma ya intaneti akiwa nyumbani kwake kupitia simu yake, ngamizi ya kawaida, ngamizi mpakato n.k ikiwa na kasi ifananayo na ile inayopatikana katika vituo vya etecsa.

English

what i am referring to is why not put one or four good wireless network adapters so anyone can have access from home with a smartphone, pc, laptop, etc. to the web with similar speed to those in etecsa centers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,927,578,413 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK