Results for ni haramu translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

na ni haramu kupiga ramli.

English

all that is transgression.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nguruwe ni haramu kabisa kwa mwislamu.

English

pork is the final frontier for the muslim.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na ni haramu kupiga ramli. hayo yote ni upotovu.

English

(forbidden) also is to use arrows seeking luck or decision, (all) that is fisqun (disobedience of allah and sin).

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na pia ni haramu kula nyama aliye chinjiwa masanamu.

English

(you are forbidden) to seek division by the arrows, that is debauchery.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadhi yao ni walevi, hata kama wanajua pombe ni haramu kidini.

English

some of them drink, despite the prohibitions.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hao ni wasikilizaji kwa ajili ya kusema uwongo, na ni walaji mno vya haramu!

English

(they are fond of) listening to falsehood, of devouring anything forbidden.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na pia ni haramu kula nyama aliye chinjiwa masanamu. na ni haramu kupiga ramli.

English

all these are sinful acts. this day the unbelievers have fully despaired of your religion.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

oh, blogu ya gayuganda ni mojawapo ya vitu ambavyo ni haramu, kwa mujibu wa muswada huu.

English

oh, the gayuganda blog is one of the things which are illegal, as per that bill.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

serikali ya myanmar inawachukulia watu wa jamii ya rohingya kuwa wahamiaji haramu.

English

the myanmar government considers the rohingya to be illegal immigrants.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

china ni kichocheo cha biashara ya pembe za ndovu, lakini hata hivyo inadai haihusiki na uwindaji haramu wa tembo.

English

china is the driving factor in the ivory trade, yet claims they are not responsible for poaching.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je hawafikirii kwamba watu wengi zaidi watataka kuzifikia tovuti hizo hivi sasa kwani vyote ambavyo ni haramu hutamaniwa zaidi?

English

don't they think that more people would want to access those sites now that everything which is illegal becomes more desirable?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hao ni wasikilizaji kwa ajili ya kusema uwongo, na ni walaji mno vya haramu! basi wakikujia, wahukumu baina yao au jipuuze nao.

English

(they are) listeners of a lie, devourers of what is forbidden; therefore if they come to you, judge between them or turn aside from them, and if you turn aside from them, they shall not harm you in any way; and if you judge, judge between them with equity; surely allah loves those who judge equitably.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hawa ni tofauti na waislamu wazembe kwa kuwa, wanaweza kufanya kila aina ya dhambi na kuvunja kila kilicho haramu kwenye dini, lakini bado wanajifanya kuwa ndio alama ya uislam.

English

they are different from the bad muslims in that, while they may commit every sin and indulge every prohibition, they present themselves as symbols of islamic virtue.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kinachoshangaza ni kuwa kuna baadhi ya watu ambao miongoni mwao ndio wanaolaani kitendo hiki na kwa upande mwingine watu hawa wanaamini kuwa kumwaga damu ya muislam ni haramu (yaani hairuhusiwi katika uislam).

English

what is surprising is that there are some among those who are condemning the act who say that spilling the blood of a muslim is haram .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sema: je! mwaonaje zile riziki alizo kuteremshieni mwenyezi mungu, nanyi mkafanya katika hizo nyengine haramu na nyengine halali.

English

did you consider that the sustenance which allah had sent down for you of your own accord you have declared some of it as unlawful and some as lawful?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mmeharimishiwa nyamafu, na damu, na nyama ya nguruwe, na mnyama aliye chinjwa si kwa ajili ya mwenyezi mungu, na aliye kufa kwa kunyongeka koo, na aliye kufa kwa kupigwa, na aliye kufa kwa kuanguka, na aliye kufa kwa kupigwa pembe, aliye liwa na mnyama, ila mkimdiriki kumchinja. na pia ni haramu kula nyama aliye chinjiwa masanamu.

English

forbidden to you (for food) are: al-maytatah (the dead animals - cattle-beast not slaughtered), blood, the flesh of swine, and the meat of that which has been slaughtered as a sacrifice for others than allah, or has been slaughtered for idols, etc., or on which allah's name has not been mentioned while slaughtering, and that which has been killed by strangling, or by a violent blow, or by a headlong fall, or by the goring of horns - and that which has been (partly) eaten by a wild animal - unless you are able to slaughter it (before its death) - and that which is sacrificed (slaughtered) on an-nusub (stone altars).

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,891,459,074 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK