Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ni mapema mno kuongelea kama wao watafanya kazi kama watumwa.
it was talked about as if they would work like slaves.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hata hivyo, bado ni mapema mno kurukia hitimisho la ni nani aliyehusika na milipuko.
however, it still seems to be pretty early to jump into conclusions about who is responsible for the blast.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
bila shaka mpaka sasa tumeshakomaa vya kutosha kuelewa kwamba kwa kawaida ukweli hauji haraka hivyo, kwamba bado ni mapema mno.
we should know by now that the truth doesn’t get here that soon and that any conclusions now would be premature.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ernest bazanye anatahadharisha kwamba pengine watu wasifanye haraka kuhukumu kwamba nani hasa alitega na kulipua mabomu hayo, bado ni mapema mno:
ernest bazanye cautions against jumping to conclusions about who set off the bombs too soon:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mara vumbi limetulia tena - ingawa awamu hiyo bado ni mapema - yaelekea lundo la zege kutoka kwenye jengo la ghorofa 4 halikuacha mtu akiwa hai.
once the dust has settled again - although the phrase is premature - the heap of concrete from the 4-storied building seems to leave no survivor.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
pamoja na tishio la la lashkar-e-taiba, ni mapema mno kuhusisha shambulio hilo kwa uhakika na mfumo wa uanajeshi wa jihadi wa pakistani.
despite the lashkar-e-taiba threat, it is too early to definitively attribute the attack to the pakistani military-jihadi complex.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ni mapema mno kusema nani anahusika na kwa nini, hata kama kuna minong'ono huko nje ya nchi kwamba kitendo hicho cha kuua watu kwa mabomu kilifanywa na kundi la al-shahab, ambalo ni kundi la magaidi huko somalia.
it’s too early to say who is responsible or why, and even though it is whispered abroad that it was a pair of suicide bombings staged by al-shahab, the somali terrorist organization.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: