Results for ni moja ya furaha nikiwa pamoja n... translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

ni moja ya furaha nikiwa pamoja na familia

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

ninawaombea abiria na wahudumu wote wa mh17, pamoja na familia za wafiwa.

English

my prayers today went out to the passengers and crew of mh17 as well as their families.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hii ni moja ya bomu lisilo la kawaida

English

this is one extraordinary bomb sabeeka al shamlan hits back, tongue in cheek:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

matangazo ya moja kwa moja ya al jazeera kutoka misri yameondolewa hewani pamoja na vituo vingine vya televisheni.

English

al jazeera's live egypt service have been taken off air along with several other tv channels.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bunge ni moja ya taasisi zilizoundwa na jeshi kwa malengo ya kuratibu kipindi cha mpito.

English

the nla is one of the institutions created by the military to oversee the country's transition.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa siku hii muhimu kwako.mimi pamoja na familia yangu tumeamua kutoa kidogo tulichonacho kutokana na hali ngumu uliyoipitia siku chache zilizopita

English

i'm not with my whole family

Last Update: 2023-08-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

agata kol ni moja ya sauti chache zinazounga mkono uamuzi huo:

English

agata kol is one of the few voices supporting the decision, though:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

moja ya ofisi ambazo zinahudumia wamalawi wengi ni ofisi ya serikali ambako pamoja na mambo mengine wateja husaidiwa kwa huduma zinazohusu masuala ya mirathi.

English

one of the offices that serves lots of malawians is the office of the administrator general where among others, clients are helped with services regarding their deceased estate.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

angelo izama anaamini uganda bado ni moja ya nchi nzuri zaidi duniani:

English

angelo izama believes uganda is still one of the most beautiful countries in the world:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jambo hili lilitokea mnamo agosti 16, 2012 mjini islamabad katika mtaa wa meherabadi katika g-12 ambao ni mtaa mdogo wenye idadi kubwa ya watu masikini na ndiyo sehemu anayoishi msichana huyu pamoja na familia yake.

English

the incident happened on august 16, 2012 in the slum meherabadi in g-12, islamabad where she lives with her family.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

“awb ipo pamoja na familia ya eugene terreblanche na inataka kusisitiza kuwa tukio hilo lilichochewa na malema na lilikuwa la kisiasa kama ilivyowekwa dhahiri katika facebook”

English

"the bwb sympathizes with the family of eugene terreblanche and wants to point to the fact that this deed was politically motivated by melama as revealed on facebook"

Last Update: 2024-04-11
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kupoteza uhuru hasa hasa isa, kuchafuliwa mimi binafsi pamoja na familia yangu kulikofanywa na vyombo vikuu vya habari na kupoteza fursa zangu zote kupitia mashitaka ya kuchafuana ndizo hasa zilikuwa sababu.

English

loss of freedom vis-a-vis isa , character assassination by the mainstream press on myself and my family and loss of my entire fortunes via defamation suits was.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maandamano ya amani ya kikundi hicho ambacho ni moja wapo ya vyombo vya upinzani vinavyoheshimika zaidi katika visiwa hivyo –pamoja na kukamatwa kwao mara kwa mara na vyombo vya dola –yanaendelea kuvuta hisia za watu.

English

as one of the oldest and most respected opposition entities on the island, their peaceful protests - and regular arrests by state security forces - continue to attract attention.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, jamaa na familia ya waathirika walitoa taarifa kukemea kwamba bado hakuna taarifa zinazoeleweka pamoja na habari za kutiwa chumvi kuhusu ukubwa wa timu ya waokoaji.

English

however, the victims' relatives and families have released a statement lashing out that information is still lacking and the scale of the rescue team has been greatly exaggerated.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hili ni moja ya tukio la aina yake ambalo wanaharakati wanaliona kuwa ni kampeni ya kimkakati ya ukandamizaji dhidi ya raia wazawa wa mindanao, ikies ni pamoja na kuwalenga viongozi wao na kuwaua, ufungaji wa shule za raia wazawa, pamoja na ardhi yao kukaliwa na wanajeshi.

English

this was the most high-profile case in what activists claim is a systematic campaign of repression against indigenous peoples in mindanao, including the targeting of their leaders for assassinations, the closing of indigenous schools, and the military occupation of their homelands.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama hali hii itaendelea, ugonjwa huu utaathiri vibaya kizazi kipya, anasema, ambacho ni moja ya vyanzo vikuu vya liberia.

English

if this continues, the disease will mainly affect the younger generation, he says, which is one of liberia’s great resources.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hilo ni jambo muhimu kwani maeneo hayo yamekuwa na ongezeko la watu, kwani watu waliopoteza makazi kutokana na tetemeko la ardhi wanakwenda kuishi na familia pamoja na marafiki katika miji waliyotoka na sehemu ambazo hazikuharibika sana.

English

that's significant because those areas are also seeing an increase in population, as people displaced by the quake go to live with family and friends in hometowns and less-damaged areas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kamera ya mcallister imekuwa ikiwafuatilia wao pamoja na familia yao kwa kila hatua ya mapinduzi ya syria, vita vya wenyewe kwa wenyewe, pamoja na maisha ya uhamishoni ya familia hii huko ulaya. simulizi hii imepewa jina la "simulizi ya kimapenzi ya syria."

English

after their release they married and had a family. mcallister’s camera has been with them and their children through every step of syria’s revolution, its civil war and the family’s final exile in europe. the resulting documentary is called "a syrian love story."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

bloga montego bay day by day anaafiki kwamba "magimbi ya njano, pamoja na nazi vinarutubisha mwili", lakini hakufurahika kwa vile nbc hawakurusha matangazo moja kwa moja ya mbio hizo:

English

montego bay day by day agreed that "yellow yam, dasheen & coco does the body good indeed", but was less-than-impressed by the fact that nbc did not bring a live feed of the race:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mwishoni, takribani asilimia 50 ya wanawake wanapata huduma za uzazi wa mpango...hii ikiwa na maana kuwa rwanda ni moja ya nchi chache za afrika ambazo zinakaribia sana kufikia malengo ya milenia mwaka 2015.

English

finally, almost 50 percent of women have access to some means of contraception .... this makes rwanda one of the very few african countries that will have almost entirely achieved its millennium development goals in 2015.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo, malaysia ni moja ya nchi zenye uchumi mzuri katika eneo la kusini mashariki ya bara asia, ina miundo mbinu iliyojengeka zaidi, ina kiwango cha chini cha umaskini, aaaah... unaweza kusema kwamba ina demokrasia zaidi pia.

English

so malaysia is economically more prosperous in south east asia region, has better developed infrastructure, with substantially lower poverty rate, hmm... you may even say more democratic.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,794,106,828 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK