Results for niamey translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

niamey

English

niamey

Last Update: 2015-06-16
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mafuriko mjini niamey, nchini niger - miliki ya umma

English

flooding in niamey in niger - public domain

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

raffaella toticchi aliyekuwa mjini niamey aliandika siku ya alhamisi mchana :

English

raffaella toticchi in niamey wrote on thursday afternoon :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mito katika niamey na maeneo ya karibu imefurika na kuharibu maelfu ya nyumba.

English

rivers in niamey and the extended regions have risen and destroyed thousands of houses.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mtumiaji twita tanoussou katika niamey aliweka picha kwenye mtandao ya kituo hicho cha reli:

English

twitter user tanoussou in niamey posted a photo of the train station :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

aprili 7, niger ilizindua katika mji mkuu wa niamey kituo chake cha kwanza cha treni kuwahi .

English

on april 7, niger inaugurated in the capital niamey its first train station ever .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

francois ndiaye katika niamey anaelezea kuhusu makubaliano ya fedha inayojumuisha wadau mbalimbali na itasimamiwa na kundi la uwekezaji la bolloré .

English

francois ndiaye in niamey unpacks the set up of the financial agreement that includes multiple stakeholders and will be overseen by the investment group bolloré .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

maandamano mjini niamey, naija kupitia kwenye ukurasa wa abdoulaye hamidou kwenye mtandao wa twita (kwa ruhusa yake)

English

protests in niamey, niger via abdoulaye hamidou on twitter (with his permission)

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

hadi sasa, mradi huu umesaidia kuongeza na kuboresha ramani za madaoua, niamey, dosso, zinder, kolmane, na guidan toudo.

English

so far, the project has helped improve and enrich maps of madaoua, niamey, dosso, zinder, kolmane, and guidan toudo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mradi huu unaendeshwa kwa ushirikiano na idara ya jiografia ya chuo kikuu cha abdou moumouni kilichopo niamey, wanafunzi wake, open street map, pamoja na rising voices.

English

this project is being run collectively by the geography department of the abdou moumouni university in niamey, its students, open street map, and rising voices.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mradi wa reli wa urefu wa kilometa 1,500 kati ya niamey, mji mkuu wa niger na cotonou, mji mkuu wa benin umepitishwa na mamlaka ya nchi hizo mbili na ujenzi utaanza machi 2014 .

English

a 1,500 km-long railway project between niamey, the capital city of niger and cotonou, the capital city of benin has been green lighted by the authorities of the two countries and construction will begin on march 2014 .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

alhamisi februari 18 mapinduzi ya kijeshi yalifanyika nchini niger ambayo kwayo rais mamadou tandja alikamatwa baada ya mapambano ya bunduki katika mji mkuu, niamey, yaliyoongozwa na kanali abdoulaye adamou harouna (amabaye alikuwa mpambe wa aliyekuwa kiongozi wa mapinduzi ya kijeshi yaliyopita meja daouda mallam wanke).

English

on thursday, february 18th a coup took place in niger in which president mamadou tandja was captured after a gun battle in the capital, niamey, led by led by col. abdoulaye adamou harouna (who was was the former aide-de-camp of niger's previous coup leader maj. daouda mallam wanke).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,771,963,844 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK