Results for nikataka translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mimi yohane, niliyaona na kusikia mambo haya. nilipokwisha sikia na kuona nikajitupa chini mbele ya miguu ya huyo malaika aliyenionyesha mambo hayo, nikataka kumwabudu.

English

and i john saw these things, and heard them. and when i had heard and seen, i fell down to worship before the feet of the angel which shewed me these things.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na hizo ngurumo saba ziliposema, mimi nikataka kuandika. lakini nikasikia sauti kutoka mbinguni: "maneno ya ngurumo hizo saba ni siri; usiyaandike!"

English

and when the seven thunders had uttered their voices, i was about to write: and i heard a voice from heaven saying unto me, seal up those things which the seven thunders uttered, and write them not.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, mimi nikaanguka kifudifudi mbele ya miguu yake nikataka kumwabudu. lakini yeye akaniambia, "acha! mimi ni mtumishi tu kama wewe na ndugu zako; sote tunauzingatia ukweli ule alioufunua yesu. mwabudu mungu! maana ukweli alioufunua yesu ndio unaowaangazia manabii."

English

and i fell at his feet to worship him. and he said unto me, see thou do it not: i am thy fellowservant, and of thy brethren that have the testimony of jesus: worship god: for the testimony of jesus is the spirit of prophecy.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,914,876,554 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK