Results for nikipata muda nitakwambia sitoki ... translation from Swahili to English

Swahili

Translate

nikipata muda nitakwambia sitoki kila wiki

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kwa sasa, tutakuwa tunaripoti kila wiki.

English

currently, we will be reporting weekly.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tunaweza kuongeza muda wa uopoaji wa data hadi mara mbili kila wiki ikihitajika.

English

we have the opportunity to escalate the data extraction to twice weekly if needed.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

rcgp rsc, mtandao wa zaidi ya huduma 500 za jumla nchini uingereza, hukusanya data isiyotambulishwa kila wiki.

English

the rcgp rsc, a network of over 500 general practices in england, extract pseudonymized data weekly.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

gazeti la kielekroniki la kila wiki la proceso mapema lilitoa taarifa ya kupotea kwa mwandishi huyu wa habari huku likihitaji majibu kutoka serikalini.

English

the electronic version of the weekly proceso had previously reported the disappearance of the reporter, demanding answers from the authorities.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

afkinsider imeandaa mashindano ya kublogu ambapo mwanablogu bora kila mwezi atahitajika kuandika hadithi ya kulipiwa kila wiki kwa afkinsider mwezi ujao:

English

afkinsider is hosting a blogging competition where the best blogger every month will be asked to write a paid weekly story for afkinsider the next month:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa vile tunaweka muundo wa janga wa sir katika utarbitbu wa abc, tunatarajia kwamba matokeo yetu yatakuwa makubwa yakilinganishwa na data ya kila wiki iliyo na idadi ndogo.

English

since we are fitting an sir-epidemic model in the abc routine, we anticipate that our results will be robust against weekly case data containing relatively small counts.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

matendo ya vairolojia ya rcgp rsc yatalenga kuendesha shughuli ya kuchukua sampuli 200-300 za puani kila wiki katika mtandao mzima wa timu ya angalizi ya rcgp rsc, kukusanya sampuli katika fungo za umri wote.

English

the rcgp rsc virology practices will aim to undertake 200-300 nasopharyngeal swabs per week across the rcgp rsc sentinel network, collecting specimens across all age bands.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kipindi hicho cha kila wiki cha urefu wa dakika 30, kwa ufadhili wa unfpa, kinawapa wasikilizaji wake dakika 30 za taarifa na mazungumzo kuhusu ngono na masuala ya afya ya uzazi, vyote vikiwa vimelengwa kwa vijana.

English

the weekly 30-minute show, funded in part by unfpa, provides listeners with 30 minutes of information and conversation about sex and reproductive health issues, all tailored toward young people.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kule kanada, mwandishi gwynne dyer wa gazeti huru la kila wiki la vancouver kupitia mtandao wa straight.com, anabuni kwamba kuelekeza fikra kwenye dini ya muuaji ni kufumbia macho baadhi ya masuala mengine muhimu:

English

in canada, writer gwynne dyer, at vancouver weekly free paper straight.com, argues that pointing out the murderer's religion overlooks some very serious issues:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nina mambo matatu makuu ninayopenda sana: maendeleo ya ai, raga, na biashara. kila moja ya shughuli hizi huleta kitu cha kipekee maishani mwangu na hunisaidia kuwa na uwiano. acha nianze na raga. nimekuwa nikicheza tangu chuo kikuu, na ni jambo ambalo ninatarajia kila wiki. kuna kitu cha kufurahisha sana kuhusu kazi ya timu, mkakati, na uhalisia wa mchezo. maendeleo yangu ni sehemu nyingine kubwa ya maisha yangu,mwishowe, ninafanya biashara.

English

i have three main hobbies that i'm really passionate about: ai development, rugby, and trading. each of these activities brings something unique to my life and helps me stay balanced.let me start with rugby. i’ve been playing since college, and it's something i look forward to every week. there’s something incredibly exhilarating about the teamwork, strategy, and physicality of the game.ai development is another big part of my life,lastly, i’m really into trading. it started as a way to c

Last Update: 2024-07-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,941,708,629 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK