From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
nilishtushwa hivi karibuni nilipowasikia baadhi ya watanzania wa kawaida katika jiji la dar es salaam wakijadili kuhusu uchaguzi wa jumapili ijayo na wakishauriana kwamba itakuwa vema kuhakikisha watu wanajiwekea akiba ya kutosha ya chakula majumbani, maana walikuwa wakitarajia matukio mabaya.
i was shocked beyond words recently when i overheard ordinary tanzanians in a dar-es-salaam surburb discussing sunday’s polls and saying that it would be a good idea to stock up in food and stay indoors, expecting the worst.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nilishtushwa sana baada ya kusoma kipande kidogo tu cha habari hiyo.mwezi februari, 2010 moto mkali ulioelezwa kama ‘wa ghafla na haraka” uliteketeza makazi ya rais wa zamani jerry rawlings na haukubakisha kitu chochote kilichoweza kuokolewa kutoka kwenye mabaki ya moto huo.
i became totally shocked after reading just part of the story. in february, 2010 an intense fire described as "rapid and fast" razed to ashes the residence of former president jerry rawlings with nothing to salvage from the debris.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting