Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kwa nini waniuliza mimi? waulize wale waliosikia nini niliwaambia. wao wanajua nilivyosema."
why askest thou me? ask them which heard me, what i have said unto them: behold, they know what i said.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
niliwaambia tena kwa mara nyingine: chechen hakuna nafasi kwa yeyote awaye anayejaribu kujihusisha kwa namna yoyote na isis.
i told them again: there’s no place in chechnya for anyone who even glances in the direction of isis.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ninajua jinsi mlivyo na moyo wa kusaidia, na nilijivuna juu yenu kuhusu jambo hilo mbele ya watu wa makedonia. niliwaambia: "ndugu zetu wa akaya wako tayari tangu mwaka jana." hivyo, moto wenu umekwisha wahimiza watu wengi zaidi.
for i know the forwardness of your mind, for which i boast of you to them of macedonia, that achaia was ready a year ago; and your zeal hath provoked very many.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting