Results for nina siri naye yesu translation from Swahili to English

Swahili

Translate

nina siri naye yesu

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

nina siri

English

stay with me

Last Update: 2024-10-18
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naye yesu alikuwa amealikwa arusini pamoja na wanafunzi wake.

English

and both jesus was called, and his disciples, to the marriage.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

vipofu na vilema walimwendea huko hekaluni, naye yesu akawaponya.

English

and the blind and the lame came to him in the temple; and he healed them.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naye yesu akaendelea kukua katika hekima na kimo; akazidi kupendwa na mungu na watu.

English

and jesus increased in wisdom and stature, and in favour with god and man.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naye yesu akamwambia yule mwanamke, "imani yako imekuokoa; nenda kwa amani."

English

and he said to the woman, thy faith hath saved thee; go in peace.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

naye yesu akawaambia mambo mengi kwa mifano. "sikilizeni! mpanzi alikwenda kupanda mbegu.

English

and he spake many things unto them in parables, saying, behold, a sower went forth to sow;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mjenzi wa nyumba hupata heshima zaidi kuliko hiyo nyumba yenyewe. hali kadhalika naye yesu anastahili heshima kubwa zaidi kuliko mose.

English

for this man was counted worthy of more glory than moses, inasmuch as he who hath builded the house hath more honour than the house.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe wakilisha mlimani. basi, hao pepo wakamsihi awaruhusu wawaingie. naye yesu akawapa ruhusa.

English

and there was there an herd of many swine feeding on the mountain: and they besought him that he would suffer them to enter into them. and he suffered them.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naye yesu akawaponya watu wengi waliokuwa na magonjwa mbalimbali; aliwafukuza pepo wengi, lakini hakuwaruhusu kusema kitu maana walikuwa wanamjua yeye ni nani.

English

and he healed many that were sick of divers diseases, and cast out many devils; and suffered not the devils to speak, because they knew him.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mahali hapo palikuwa na kisima cha yakobo, naye yesu, kutokana na uchovu wa safari, akaketi kando ya kisima. ilikuwa yapata saa sita mchana.

English

now jacob's well was there. jesus therefore, being wearied with his journey, sat thus on the well: and it was about the sixth hour.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu wengi sana wakamjia wakiwaleta vilema, vipofu, viwete, bubu na wengine wengi waliokuwa wagonjwa, wakawaweka mbele ya miguu yake, naye yesu akawaponya.

English

and great multitudes came unto him, having with them those that were lame, blind, dumb, maimed, and many others, and cast them down at jesus' feet; and he healed them:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, wakafika yeriko, naye yesu alipokuwa anatoka katika mji huo akiwa na wanafunzi wake pamoja na umati mkubwa wa watu, kipofu mwombaji aitwaye bartimayo mwana wa timayo alikuwa ameketi kando ya barabara.

English

and they came to jericho: and as he went out of jericho with his disciples and a great number of people, blind bartimaeus, the son of timaeus, sat by the highway side begging.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu alipokwisha sema hayo, alikwenda ng'ambo ya kijito kedroni, pamoja na wanafunzi wake. mahali hapo palikuwa na bustani, naye yesu akaingia humo pamoja na wanafunzi wake.

English

when jesus had spoken these words, he went forth with his disciples over the brook cedron, where was a garden, into the which he entered, and his disciples.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, wakamjibu yesu, "sisi hatujui." naye yesu akawaambia, "nami pia sitawaambieni ninafanya mambo haya kwa mamlaka gani."

English

and they answered and said unto jesus, we cannot tell. and jesus answering saith unto them, neither do i tell you by what authority i do these things.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kisha akampeleka simoni kwa yesu. naye yesu akamtazama simoni akasema, "wewe ni simoni mwana wa yohane. sasa utaitwa kefa." (maana yake ni petro, yaani, "mwamba.")

English

and he brought him to jesus. and when jesus beheld him, he said, thou art simon the son of jona: thou shalt be called cephas, which is by interpretation, a stone.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,953,305,380 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK