From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
fedha ya kujikimu
stipends
Last Update: 2020-09-30
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
fedha ya biashara
trade finance
Last Update: 2024-05-12
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
maombi ya pesa ya kujikimu
maombi ya pesa ya kujikimu
Last Update: 2024-12-30
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hufika wakati wakakosa hata fedha ya kununua mkate.
sometimes they don't have enough money to simply buy bread.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hivi sasa soko la roque santeiro ni njia ya kujikimu ya familia nyingi za waangola.
currently, the roque santeiro market is means of survival for many angolan families.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
uhusiano kati ya kujikimu kiuchumi na ngono za nguvu vina kumbukumbu ndefu nchini liberia.
the connection between economic survival and sexual violence has a legacy in liberia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lakini yule aliyekabidhiwa talanta moja akaenda akachimba shimo ardhini, akaificha fedha ya bwana wake.
but he that had received one went and digged in the earth, and hid his lord's money.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nionyesheni fedha ya kulipia kodi." nao wakamtolea sarafu ya fedha. sarafu ya fedha.
shew me the tribute money. and they brought unto him a penny.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kanisa la kisabia la orthodox taasisi zingine zote za kidini yana msamaha wa kutolipa kodi nchini serbia na mamlaka ya serikali ya kodi hawajawahi kukagua fedha ya jamii yoyote iliyosajiliwa kidini nchini humo.
the serbian orthodox church and all other religious institutions are exempt from taxes in serbia and state tax authorities have never inspected the finances of any registered religious community in the country.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
walipofika kafarnaumu watu wenye kukusanya fedha ya zaka ya hekalu walimwendea petro, wakamwuliza, "je, mwalimu wenu hulipa fedha ya zaka?"
and when they were come to capernaum, they that received tribute money came to peter, and said, doth not your master pay tribute?
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
harakati hizi zinakuja kufuatia mfululizo wa maandamano dhidi ya serikali kutokana na kupungua kwa haraka kwa thamani ya fedha ya ghana kwani serikali iliongeza vikwazo katika taratibu za fedha za kigeni na mwezi uliopita ikavilegeza tena, hali iliyopelekea kupungua kwa nishati na hivyo kusababisha misururu mirefu ya watu katika vituo vya mafuta, hali iliyodumu kwa takribani wiki moja.
this comes in the wake of a series of backlashes against the government for the fast depreciation of the cedi since it tightened the country's foreign currency rules and eased them last month, and the shortage of fuel that led to long queues at petrol stations for about a week.
Last Update: 2024-05-08
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kama kitendo hiki kikiangaliwa chini ya makosa ya jinai yanayohusiana na kompyuta, basi huyu – mwana habari – inatakiwa awe jela kwa zaidi ya miezi sita na kukulipa si chini ya fedha ya riyali za saudia 250,000.
if this action considered under a computer-related crimes , then he - the journalist - should be in jail for more than 6 months and he should pay to you not less than 250,000 sr .
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: