From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ninusuru kwa kuwa wamenikanusha.
come to my help at their accusation that i am lying."
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ninusuru kwa sababu wananikanusha.
come to my help at their accusing me of lying."
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ninusuru na watu mafisadi hawa!
give me victory over folk who work corruption.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
akasema: mola wangu mlezi! ninusuru kwa sababu wananikanusha.
(the apostle prayed): "o lord, deliver me, for they accuse me of lies."
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
akasema (nuhu): mola wangu mlezi! ninusuru kwa kuwa wamenikanusha.
"o my lord," prayed (noah), "help me against them, for they accuse me of lies."
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
basi akamwomba mola wake mlezi akasema: kwa hakika mimi nimeshindwa, basi ninusuru!
and so he called unto his lord, saying, 'i am vanquished; do thou succour me!'
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
mwaonaje ikiwa ninazo dalili zilizo wazi kutokana na mola wangu mlezi, naye akawa kanipa rehema kutoka kwake - je, ni nani atakaye ninusuru kwa mwenyezi mungu nikimuasi?
bethink you: if i am (acting) on clear proof from my lord and there hath come unto me a mercy from him, who will save me from allah if i disobey him?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
akasema: enyi watu wangu! mwaonaje ikiwa ninazo dalili zilizo wazi kutokana na mola wangu mlezi, naye akawa kanipa rehema kutoka kwake - je, ni nani atakaye ninusuru kwa mwenyezi mungu nikimuasi?
he said, "o my people, have you considered: if i should be upon clear evidence from my lord and he has given me mercy from himself, who would protect me from allah if i disobeyed him?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting