From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
basi, mwanamke mmoja msamaria akafika kuteka maji. yesu akamwambia, "nipatie maji ninywe."
there cometh a woman of samaria to draw water: jesus saith unto her, give me to drink.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
yesu akamjibu, "kama tu ungalijua zawadi ya mungu na ni nani anayekwambia: nipatie maji ninywe, ungalikwisha mwomba, naye angekupa maji yaliyo hai."
jesus answered and said unto her, if thou knewest the gift of god, and who it is that saith to thee, give me to drink; thou wouldest have asked of him, and he would have given thee living water.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
azad essa katika tovuti ya thought leader amepandisha makala moja nzuri sana ya kejeli na utani inayoongelea mikataba ya ajabu ajabu ambayo julius malema amejikusanyia katika nafasi yake nzuri serikalini. “nipatie kilo mbili za malema laini, tafadhali!”:
azad essa at thought leader posts up a brilliant satirical piece covering the dodgy contracts julius malema has amassed in his very well-endowed position in government,"two kilo's of tenderised malema, please!":
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting