Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
hakuna kazi kabisa katika kijiji chao.
there is no work whatsoever in the village.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mafuriko katika kijiji kusini mwa manila.
a flooded village south of manila.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
palikuwa na idadi kubwa ya polisi katika kijiji hicho.
there was a heavy police presence in the village.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
yesu aliondoka hapo akaenda katika kijiji chake, akifuatwa na wanafunzi wake.
and he went out from thence, and came into his own country; and his disciples follow him.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
akaendelea kusema, "hakika nawaambieni, nabii hatambuliwi katika kijiji chake.
and he said, verily i say unto you, no prophet is accepted in his own country.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
nyumba yoyote mtakayoingia na kukaribishwa, kaeni humo mpaka mtakapoondoka katika kijiji hicho.
and whatsoever house ye enter into, there abide, and thence depart.
Last Update: 2024-02-19
Usage Frequency: 2
Quality:
kukimbilia kwa wachimbaji wa ardhi kulipelekea wanakijiji kuhamia mbali katika kijiji kingine cha ambatotsivala.
the rush of land miners pushed local villagers away to another village ambatotsivala.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mradi wa katine unaoendeshwa na guardian and observer unafanya kazi kubadilisha hali hiyo katika kijiji kimoja.
for one village, the guardian and observer's katine project is working to change that.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kimbunga haiyan kilichosababisha meli kukwama katika eneo la leyte na kuharibu nyumba katika kijiji cha pwani.
typhoon haiyan caused a ship to ran aground in leyte, destroying houses in a crowded coastal village.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
siku ya ijumaa makanisa mawili katika kijiji cha mallawi, jimbo la minya, yalishambuliwa na kuchomwa moto.
friday two churches in the village of mallawi, a village in the province of minya, were attacked and set on fire.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wanawake wanne kutoka jamii ya tatar husafiri kila juma kutoka katika kijiji chao kwenda syzran ili kutafuta fedha za kujikimu.
four ethnic tatar women commute weekly from their village to syzran to earn some money.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
siku za hivi karibuni, msichana mzawa alibakwa na kisha kuuliwa katika kijiji cha borodalupara huko kawkhali upazila katika wilaya ya rangamati.
recently an indigenous girl was raped and killed at borodalupara village in kawkhali upazila of rangamati district. and?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
zaidi ya wanablogu 20 wa misri wametiwa mbaroni mara baada ya gari moshi walilokuwa wakisafiria kuwasili katika kijiji cha naga hammady huko misri ya juu.
more than 20 egyptian bloggers were arrested when their train arrived in the village of naga hammady in upper egypt.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kuna mlowezi mmoja katika kijiji ajulikanaye kwa jina la nallyachari uttor matha aishie takribani umbali wa nusu ya kilometa kutoka sehemu ilipokutwa maiti ya thomaching.
there is a settler village named nallyachari uttor matha within half a kilometer of the place where thomaching’s dead body was recovered.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
akawaambia, "nendeni katika kijiji kilicho mbele yenu. mtakapokuwa mnaingia humo, mtakuta mwana punda amefungwa ambaye bado hajatumiwa na mtu. mfungueni mkamlete.
and saith unto them, go your way into the village over against you: and as soon as ye be entered into it, ye shall find a colt tied, whereon never man sat; loose him, and bring him.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
mnamo tarehe 8 aprili, kulikuwa na taarifa kwamba alikuwa amekimbilia huko osh (kusini mwa nchi), na kwenda katika kijiji alikozaliwa karibu na jalalabad.
on april 8, there was information that he landed in osh (south of the country), and moved to his native village near jalalabad.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ni zaidi ya masaa 24 tangu wafanyakazi 20 (wengi wao wakiwa ni wazazi) katika kijiji cha matumaini walipohamishwa kutoka kwa watoto wao, bila ya kutarajiwa na maofisa wa moroko.
it has been over 24 hours since 20 workers (most, parents) at the village of hope were taken from their children, unexpectedly by moroccan officials.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wamekosa kiasi cha rabo 400 (kama dola za marekani 13) ili kutosheleza kiasi (cha kununulia tikiti) kuwawezesha kufika katika kijiji chao, siyo mbali na .
are 400 rubles (approx. $13) short of to get to their native village, not far from .
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
baada ya mashambulizi dhidi ya wafuasi wa morsy ambapo zaidi ya watu 600 walifariki, wafuasi wa morsy walikusanyika baada ya swala ya ijumaa wakavamia na kuchoma makanisa mawili, na baadhi ya maduka yanayomilikiwa na wakristo katika kijiji cha mallawi.
after the attack on the pro-morsy sit in where more than 600 people died, morsy supporters gathered after friday prayer storming and burning two churches, and some christian owned shops in the village of mallawi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hivi karibuni, mnamo septemba 2, 2012, mwandishi wa habari wa tanzania daudi mwangosi aliawa kwa kile kinachodaiwa kuwa bomu la kutoa machozi katika kijiji cha nyololo, mufindi kusini, iringa mkoa ulioko kusini mwa tanzania.
most recently, on september 2, 2012, tanzanian journalist daudi mwangosi was killed by a tear gas canister in nyololo village in mufindi south (iringa region) in southern tanzania.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: