Results for nyavu translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata.

English

and straightway they forsook their nets, and followed him.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akaona mashua mbili ukingoni mwa ziwa; wavuvi wenyewe walikuwa wametoka, wanaosha nyavu zao.

English

and saw two ships standing by the lake: but the fishermen were gone out of them, and were washing their nets.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alipokwenda mbele kidogo, aliwaona yakobo na yohane, wana wa zebedayo. nao pia walikuwa ndani ya mashua yao wakizitengeneza nyavu zao.

English

and when he had gone a little further thence, he saw james the son of zebedee, and john his brother, who also were in the ship mending their nets.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwanablogu wa maldivihani amir anaandika kuhusu mbinu za uvuvi asilia ikiwa ni pamoja na kukamata mamia ya samaki kwa mikono yao, badala ya kutumia nyavu au fimbo.

English

maldivian blogger hani amir writes about the traditional fishing methods of the reef fishermen of maldives which include catching tons of fish with their hands, instead of nets or rods.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alipomaliza kufundisha, akamwambia simoni, "peleka mashua mpaka kilindini, mkatupe nyavu zenu mpate kuvua samaki."

English

now when he had left speaking, he said unto simon, launch out into the deep, and let down your nets for a draught.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

simoni akamjibu, "bwana, tumejitahidi kuvua samaki usiku kucha bila kupata kitu, lakini kwa kuwa umesema, nitatupa nyavu."

English

and simon answering said unto him, master, we have toiled all the night, and have taken nothing: nevertheless at thy word i will let down the net.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kisha, katika dakika ya 54, yanga walishindwa kuizuia presha kutoka kwa washambuliaji wa simba na kusababisha mshambuliaji wa simba bertram mombeki kwenye nafasi ya kupiga mpira juu ya nyavu, hii kidogo ikaipa timu yake matumaini.

English

then, in the 54th minute, yanga failed to deal with a speculative punt forward from simba that found striker bertram mombeki in position to blast the ball into the roof of the net, giving his side some hope.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu alipokuwa anatembea kando ya ziwa galilaya, aliwaona ndugu wawili wavuvi; simoni (aitwae petro) na andrea, ndugu yake; walikuwa wakivua samaki kwa nyavu ziwani.

English

and jesus, walking by the sea of galilee, saw two brethren, simon called peter, and andrew his brother, casting a net into the sea: for they were fishers.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,926,974,975 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK