From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
itakuwa na
will have
Last Update: 2024-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
baada ya miongo miwili, nchi itakuwa na matabaka yaliyo wazi.
after 2 decades, the country will be highly classified.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
rais mujica anatarajiwa kutia saini sheria, ambayo itakuwa na ufanisi kuanzia mwaka ujao.
president mujica is expected to sign the law, which would become effective starting next year.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
upitishaji maalum wa hewa chanya ya msukumo inaweza kufaa katika baadhi ya mipangilio ya huduma ya afya na vyumba vya kuhifadhia maiti.
specialized negative pressure ventilation may be appropriate in some healthcare and mortuary settings.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
ikiwa basi, kulikuwa na utukufu katika huduma ile iliyoleta hukumu, ni wazi kwamba huduma ile iletayo kukubaliwa kuwa waadilifu itakuwa na utukufu mkuu zaidi.
for if the ministration of condemnation be glory, much more doth the ministration of righteousness exceed in glory.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
dhana ya ujasiriamali afrika itakuwa na msingi wake katika tunu za utamaduni wa ki-afrika lakini pia katika kujenga mshikamano unaodumisha mazingira ya kiuchumi na kijamii.
the concept of african entrepreneurship will be based on the value of african culture but also on developing solidarity that promotes the socio-economic environment.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nchi inayopima watu waliolazwa hospitalini pekee itakuwa na idadi ya juu ya visa vya ugonjwa kama % ya vipimo kuliko nchi inayopima wananchi wote, iwe wanaonyesha dalili au la, mambo mengine yakiwa sawa.
a country that only tests people admitted to hospitals will have a higher positive as % of tests than a country that tests all citizens, whether or not they are showing symptoms, other things being equal.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
-baraza la kijeshi kung’ang’ania kuendelea kuiweka madarakani serikali iliyoshindwa itakuwa na maana ya kutaka kuharibu lengo la mapinduzi, kuwakatisha watu tamaa, na kuvuruga uchaguzi
- scaf's insistence on keeping a failing government in power means they want to thwart the revolution, make the people despair, and rig the elections
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hivyo iko hatari kwamba biashara yetu itakuwa na jina baya. si hivyo tu, bali pia jambo hilo linaweza kuifanya nyumba ya mungu artemi kuwa si kitu cha maana. hatimaye sifa zake huyo ambaye asia na dunia yote inamwabudu, zitakwisha."
so that not only this our craft is in danger to be set at nought; but also that the temple of the great goddess diana should be despised, and her magnificence should be destroyed, whom all asia and the world worshippeth.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kama shambulio hilo baya litafanikiwa kuibua vurugu baina ya raia wa kenya au hatua nzito za serikali dhidi ya wa-somali, basi al-shabaab itakuwa na nafasi ya kujitengenezea picha ya kikundi cha kijeshi kinachowalinda wa-somali na maadui wa nje.
if the deadly attack succeeds in prompting vigilante violence by kenyan citizens or heavy-handed government reactions against somali residents, shabaab stands a chance of recasting itself as the vanguard militia protecting somalis against external enemies.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: