From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
natumaini siku nzuri ya mwalimu
as long as we stayed out of the rain
Last Update: 2014-06-12
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
chokoleti nzuri ya usiku
good night chocolate
Last Update: 2022-10-14
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ngonjera kati ya mwalimu na mwanafunzi
interplay between teacher and student
Last Update: 2023-07-14
Usage Frequency: 2
Quality:
Reference:
inasemekana kwamba namna nzuri ya kuelimika ni kujifunza.
it is said that the best way to became educated is to learn.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
alama nzuri ya historia huendelea kuwa kuwa alama nzuri.
the beautiful legend will always be a legend.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwakutumia mbinu ya mwalimu awaongoze wanafunzi kujumlisha idadi jumla isiyozidi
kwakutumia onesho mbinu mwalimu awaongoze wanafunzi kujumlisha nambari jumla isiyozidi
Last Update: 2023-02-12
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kuwa na heshima ya juu ni muhimu kwa afya nzuri ya akili na ustawi.
having high self esteem is key to positive mental health and well being.
Last Update: 2025-02-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ikiwa kila hazina ni nini yenyewe, ni nini tofauti lakini nzuri ya kupendeza igawanywe
should each treasure what of it's own, what is different but beautiful can be shared
Last Update: 2024-10-08
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
yuda akakubali, na akawa anatafuta nafasi nzuri ya kumkabidhi kwao bila umati wa watu kujua.
and he promised, and sought opportunity to betray him unto them in the absence of the multitude.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
daima katika sala zangu. namwomba mungu akipenda, anipatie nafasi nzuri ya kuja kwenu sasa.
making request, if by any means now at length i might have a prosperous journey by the will of god to come unto you.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
baadhi ya sera zinapendekezwa kama hatua nzuri ya kukabiliana na mahitaji ya afya ya akili na ya mwili kwa vijana.
some policies are suggested to better respond to the mental and overall health needs of adolescents.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ingawa hatukubaliani naye, tunathamini nia yake nzuri ya kufanya nchi hii iendelee kidemokrasia katika njia ya mafanikio aliyoiamini.
though we don’t agree with him, we take seriously his good intentions to make the country developed, democratic and prosperous in the ways he believed.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nembo iliyobuniwa vizuri ya tukio hili, iliyotengenezwa na quarcoo, inafanya kazi nzuri ya kuamsha hamasa ya tamasha hilo.
the vibrantly designed logo for this event, created by quarcoo, does a great job of evoking excitement about the festival.
Last Update: 2024-02-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kaika @uchaguziwairaki, waandishi waliojaribu kutumia twita walifanya kazi nzuri ya kutupasha habari kwa kutumia nyenzo za mitandao ya kijamii.
on @iraqelections, the reporters who toyed with twitter did a fantastic job keeping us updated using social networking tools.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wakati fulani victor alijipatia kazi nzuri ya kufanya maboresho ya viatu vya timu ya shule ya mpira wa miguu, kwa bahati mbaya fedha aliyoipata iliibwa.
one day he landed a big job of mending the shoes of the school football team, unfortunately that money was stolen.
Last Update: 2024-02-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
yote yanaelezea hisia kwamba uchaguzi wa nchi ya bongo huenda ukakumbwa na wizi wa kura ili kukipendelea chama kinachotawala hasa kipindi hiki ambapo kunaonekana kuwa na shauku ya mabadiliko ya utawala katika nchi ya mwalimu julius nyerere.
they are all expressing fear that bongoland’s elections may be rigged in favor of the ruling party based on the mood in the country that seems to be craving for regime change in the land of mwalimu julius nyerere.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
badala ya serikali kusikiliza matakwa yao na kuzingatia suala la kutokuwa na hali nzuri ya ulinzi pamoja na madhara ya uharibifu wa mazingira unaotokana na mitambo hii ya nyuklia. serikali imewajibu waandamanaji kwa kutumia njia ya ukandamizaji wa kikatili kabisa.
the government instead of responding to their just demands and concerns for the immense security risk and the environmental hazard that this plant can cause on the surrounding area, has responded with the most cruel repression on the protesting masses.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
aidan eyakuze na ben taylor, wote wawili wakifanya kazi kwenye asasi huru inayofanya kazi zake afrika mashariki iitwayo twaweza, walikuwa na hoja kwamba muswada huo unatoa nguvu nyingi mno kwa polisi bila namna nzuri ya kuwadhibiti:
aidan eyakuze and ben taylor, both of whom work for the independent east african initiative twaweza, argued that the bill gives too much power to police without meaningful oversight:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kama ambavyo makala ya hivi karibuni ya alexandra starr inavyoeleza, maeneo yote haya mawili ya teknolojia na serikali yamewatenga wanawake katika ushiriki pamoja na ukweli kwamba wamekuwa na rekodi nzuri ya kushughulikia sera na teknolojia kwa njia iliyo yakinifu zaidi na kwa mbinu za hali ya juu kuliko wanaume walio wengi.
as a recent article by alexandra starr notes, both the fields of technology and government have long excluded women from participation despite their impressive track record for approaching both policy and technology with more realism and tact than their male counterparts.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
anaongeza zaidi kuwa: “pindi tovuti ikianza kufanya kazi na kwa kutumia idadi nzuri ya zana au miundo, nitaufanya msimbo kuwa wa wazi kwa kila mtu na kuwakaribisha waendelezaji na waandishi wa habari kuuimarisha ili waweze kutengeneza matoleo yao ya tovuti hii.
and he adds: "once the site is working with a healthy amount of applications, i will make the code open source and invite developers and journalists to improve it so they can launch their own versions of the site".
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting