Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ondoka kwenye tovuti
2.1 eur) leave the website
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
unaweza kumfuatlia Álvaro kwenye akaunti yake ya twita.
you can follow Álvaro on his twitter account.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mtangazaji maribel hernández aliandika haya kwenye akaunti yake ya twita:
reporter maribel hernández shared this from her twitter account:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
picha ya khulood al-khamis kutoka kwenye akaunti yake ya twita
picture of khulood al-khamis from her twitter account
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
badala yake, analalamika kwenye akaunti yake ya twita iliyothibitishwa @egypresidency.
instead, he is ranting on twitter on his verified twitter account @egypresidency.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kama kiasi hiki cha asilimia 10 au 20 cha fedha kitawekwa kwenye akaunti kwa jina la mke, vipi kuhusu mahitaji muhimu ya mke?
if 10 or 20% salary is deposited on wife’s name, what about the maintenance money to wife, if she deserts the husband and files a maintenance case on husband?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
askari yeyote ya misri ametumikia katika jeshi anajua vizuri sana mikopo mikubwa majenerali wa jeshi inayoingizwa kwenye akaunti zao za benki.
any any egyptian soldier served in the army knows very well how large credits the army generals own in their bank accounts.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hii sio mara ya kwanza kwa majina ya viongozi wa ngazi ya juu sana nchini uzbek kutumika kwenye akaunti zenye utata kwenye mitandao ya kijamii.
this is not the first time that high-ranking uzbek public figures’ names have been used for suspicious accounts in social networks.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
taarifa zinazotakiwa na idara ya usalama ni habari maalum kutoka kwenye akaunti ya indymedia athens, iliyohifadhiwa kwenye vihifadhi takwimu (servers) za may first.
the data required by federal agents is specific information from the indymedia athens account, stored on may first servers.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
abdullah el shamy na muhammad ghafari, ambao ni miongoni mwa wanaogoma, walikuwa wakishughulikia taarifa zinazoingia moja kwa moja, kwa hiyo walikuwa wakituma taarifa hizo moja kwa moja kwenye akaunti zao za twita na kutuma picha za eneo hilo la kazi.
abdullah el shamy and muhammad ghafari, who are among the strikers, were working on the live stream, continuously updating their twitter accounts and posting pictures from the place.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
unaweza kusoma zaidi anayoyaandika silva diaz kwa kumfuatilia kwenye akaunti yake ya g+ au twita makala haya ni sehu ya kumi na moja ya #lunesdeblogsgv, (jumatatu ya blogu kwenye gv) siku ya julai 14, 2014.
you can read silva diaz following his accounts on g+ or twitter this post was part of the eleventh #lunesdeblogsgv, (monday of blogs on gv) on july 14, 2014.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kama kwenye akaunti hii, ambayo inatumika kama zana ya kazi zaidi, ninaonesha mwili wangu ukiwa uchi na kama wewe, mpendwa msomaji wangu, usingependa kuona picha hizo, funga ukurasa…ninashauri, kwamba kama wewe ni rafiki yangu au mtu tunayewasiliana mtandaoni, jaribu kuelewa kwamba mimi ni msanii mwenye uhuru kamili w akiubunifu na kwmaba ninachokionesha hapa ni sanaa.
if on this account, which is largely handled as a working tool, i show my naked body and if you, dear reader, don't like it, just turn the page ... i recommend then, that if you're my friend or virtual friend, try to understand that i am an artist with total creative freedom and that what i show here is art.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: