Results for onyesha filamu kwenye youtube translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

onyesha filamu kwenye youtube

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

bw. see alitakiwa kuondoa filamu hiyo kwenye youtube.

English

mr see was also asked to remove the film from youtube.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

zinapatikana kwenye youtube kwa kupitia verdadetruth.

English

available on youtube by verdadetruth.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

inaonekana kama filamu kwenye runinga! #nairobiblast

English

looks like a movie on live tv! #nairobiblast

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

matukio kadhaa ya kupigana mitaani na maandamano yamewekwa kwenye youtube.

English

several scenes of street fights and demonstrations are uploaded on youtube.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

vile vile hata kwa hotuba dr. lim hock siew iliyowekwa na martyn see kwenye youtube.

English

the same goes for dr. lim hock siew’s speech that was put up by martyn see on youtube.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ukurasa wa facebook ulianzishwa, na filamu nyingi zilipandishwa kwenye youtube, ili kuonyesha mshikamano kwa wanafunzi waliopoteza na wanaokandamizwa nchini iran.

English

a facebook page was launched, and several films were shared on youtube to display solidarity with departed and repressed students in iran.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuna video zilizotengenezwa wakati wa tetemeko lenyewe, kama vile video hii ya ridhaa iliyokutwa kwenye youtube.

English

some videos were made during the earthquake itself, as this amateur video found on youtube.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

michelle aligundua hivi karibuni vitisho kadhaa vinavyosumbua dhidi maisha yake vilivyotumwa kwenye youtube na tovuti nyingine.

English

michelle recently discovered several disturbing threats on her life posted on youtube and other websites.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

video yake hiyo ilipata watembeleaji wengi sana muda mfupi tu tangu ichapishwe na vilevile maelfu waliibofya kwenye youtube.

English

the video hit a “viral” stage within hours after its publication with several hundreds of thousands of clicks on youtube.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwandishi wa habari na mpiga picha za video gianrigo marletta, anayeishi jijini jakarta alipandisha picha hii ya video kwenye youtube.

English

gianrigo marletta, a jakarta-based video journalist posted the following video on youtube.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kamera hizo tatu zilikuwa zikirekodi mapya katika mlolongo wa programu yake inayorushwa katika mkondo maalum kwenye youtube, unaojulikana vyema kama vlog.

English

the three cameras were recording the latest episode of her program that is broadcasted on a special channel on youtube, better known as a vlog.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

simulizi moja wapo la kuvutia la habari zinazoandikwa na blogu ya tofugu hivi karibuni ni mahojiano ya pili kwenye youtube na mitandao ya kijamii yaliyofanywa na medama-sensei.

English

one of the more interesting tofugu stories recently is a follow-up interview with youtube and social media sensation medama-sensei.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,782,189,812 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK