Results for paraguay translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

paraguay

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

paraguay: wenyeji wanyunyiziwa dawa za kuua wadudu kwa ndege

English

paraguay: indigenous group sprayed aerially with pesticides · global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivi karibunituliandika kuhusu msichana wa miaka 10 aliyekuwa mjamzito nchini paraguay kwa kudaiwa kubakwa na baba yake wa kambo na namna alivyoshindwa kutoa mimba hiyo kwa sababu sheria za nchi hiyo zinazuia utoaji wa mimba.

English

we wrote recently about about a 10-year-old pregnant girl from paraguay who was allegedly raped by her stepfather and who was unable to have an abortion because of legal limitations in the country.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mchoro huo unaonyesha pia kwamba nchini bolivia, megabaiti moja kwa sekunde inagharimu kati ya mara 6 na 11 zaidi ya inavyokuwa katika nchi nyingine za jirani kama paraguay, nchi ambayo ina eneo dogo sana la ardhi.

English

it also shows that in bolivia, one mbps costs between 6 and 11 times more than in neighbouring countries including paraguay, also a land-locked country.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huko mashariki mwa paraguay, jumla ya watu 217 wa jumuiya ya wenyeji ya ava guaraní walianza kusumbuliwa wakionyesha dalili mbalimbali za kiafya zinazoaminika zilisababishwa na unyunyiziaji wa makusudi wa dawa za kuua wadudu hasa baada ya wao kuwa wamegoma kuhama kutoka katika ardhi waliyoirithi kutoka kwa mababu zao.

English

in eastern paraguay, 217 members of the ava guaraní indigenous community recently came down with health symptoms that include nausea and headaches.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,729,843,011 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK