From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kinyago cha mtumwa mweusi kilichochongwa na luiz paulino da cunha.
polychromed woodcarving of a slave by luiz paulino da cunha.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
paulino levipán mwenye umri wa miaka 19 na daniel levinao mwenye umri wa miaka 18 walianzisha mgomo wa kutokula mnamo tarehe 27, wakishirikiana na rodrigo montoya melinao na eric montoya montoya ili kupinga kukamatwa kwao.
nineteen-year-old paulino levipán and eighteen-year-old daniel levinao started a hunger strike on august 27, 2012, along with rodrigo montoya melinao and eric montoya montoya to protest their detention.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
katika shauri ladaniel, uchunguzi mwingine uliagizwa kufanyika kwa kuwa ule wa kwanza ulikosa ushahidi wa kutosha ili kukamilisha hukumu.a. kama ilivyo kwa paulino, mahakama ilibadilisha shitaka lake na kulifanya kuwa ni la kujeruhi kwa kuzingatia “makosa ya kiushahidi katika matumizi ya sheria”, hivyo hukumu yake ikabadilishwa kutoka miaka 10 gerezani hadi kifungo cha nje ya gereza kwa miaka 3.
in daniel's case, a new trial was ordered because the first one lacked enough proof to reach a sentence. as for paulino, the court changed his accusation to injuries based on "evident mistakes in the application of the law", therefore his sentence changed from 10 years in prison to 3 years in parole.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting