From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wewe ni muongo
you are a liar
Last Update: 2021-04-15
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nilikuwa naye ila muongo sana
i was with him but a decade too loni was with him but a decade too long
Last Update: 2022-10-30
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mwanaume muongo na muaribifu na mchezeaji wa wanawake
a man and a woman
Last Update: 2024-12-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mwanaume muongo na muaribifu wa maisha ya binti mdogo
a man and a man of mt life
Last Update: 2024-12-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hebu saili mwenendo wa ghasia hizi katika muongo uliopita.
just examine the trajectory of sectarian violence over the last decade.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sielewi kwa nini mtu asubiri kwa muongo ili amtose mke wake anayetembea nje.
i don't understand why a person has to wait for a decade just to ditch his cheating wife.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa hiyo hajakutana na watoto wake wawili, ambao hivi sasa wana umri wa zaidi ya miaka thelathini, kwa zaidi ya muongo mmoja sasa.
she has not seen either of her two sons, now men in their thirties, for a decade.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wasichana wanauawa mithili ya mauaji ya kimbari ya jinsia katika muongo mmoja kuliko watu waliouawa kwenye matukio yote ya mauaji ya kimbari kwenye karne ya ishirini.
girls are killed in a gendercide routine in any one decade than people were slaughtered in all the genocides of the twentieth century.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ukuaji ulio ongezea pato la kuu la mwaka la bara la afrika kwa zaidi ya muongo mmoja uliopita unaonyesha kwamba ubepari huu wa kimantiki na kibinafsi umejijenga sawia ingawa si kwa usawa barani humu.
the growth that fueled the continent's gdp over the past decade indicates that this rational, individualistic capitalism is installed progressively albeit unevenly across the continent.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wataalamu kuhusu nchi ya haiti na watetezi wa masuala ya uhamiaji kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakihimiza kwamba ruhusu itolewe ili raia wa haiti wapate hadhi ya tps hasa kwa kuzingatia majanga ya vimbunga na dhoruba nyingine ambazo zimekuwa zikiipiga nchi hiyo katika muongo uliopita.
haitian expats and immigration advocates have long clamored for tps for haitians, especially in light of numerous hurricanes and major storms over the past decade.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ukilinganisha na muongo uliopita, kabla ya facebook, twita na mitandao mingine ya kijamii haijatwaa nafasi, hivi sasa hakuna blogu nyingi za ki-japan kama ilivyokuwa.
compared to a decade ago, before facebook, twitter and other social media took over, there aren't as many japan blogs are there used to be.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tofauti na ilivyo kwa katrina jorene, kwa bahati mbaya, alexander na kim aris, watoto wa mshindi wa tuzo ya amani ya nobel, aung san suu kyi, hawakupata bahati ya kujifunza kutoka kwa mama yao kwa zaid ya muongo mmoja sasa.
unlike katrina jorene, unfortunately, alexander and kim aris, sons of nobel peace prize laureate, aung san suu kyi, have not had the opportunity to learn from their mother for more than a decade.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
dira ya kenya 2030 inalenga kuhakikisha wakenya wote wanapata maisha bora katika nchi mpya iliyoendelea kiviwanda na hali ya juu ya uchumi wa kipato cha kati. kenya imefikia hali ya chini ya uchumi wa kipato cha kati, na kuiwezesha kufikia hatua, hasa wakati manufaa ya kiuchumi ya miundombinu muhimu iliyowekwa katika muongo mmoja uliopita yanazaa matunda.
the kenya vision 2030 aims to ensure all kenyans achieve a high quality of life in a newly industrialised country with a higher middle income economic status. kenya has realised a lower middle income economic status, enabling it to reach the take off stage, especially when the economic benefits of the significant infrastructural facilities laid down in the past decade bear fruits.
Last Update: 2022-02-02
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: