Results for pengo translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

pengo

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kwa zaidi ya miezi miwili wanablogu wa najieria walilalamikia pengo hili la kiungozi.

English

for more than two months nigerian bloggers lamented the leadership void.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tutakumisi sana sir hakika umetuachia pengo kubwa tulikuzoea lakini hakuna namna mungu akubariki

English

god is the best.

Last Update: 2023-11-17
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pengo kubwa kati ya hali halisi na ile iliyotarajiwa na ikiwa mtu anapaswa kuondoka au kubaki ni sula la mapambano.

English

the huge gap between ideal and reality and whether one should stay or leave is always a struggle.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nafurahi sana kwamba stefana, fortunato na akaiko wamefika; wamelijaza pengo lililokuwako kwa kutokuwako kwenu.

English

i am glad of the coming of stephanas and fortunatus and achaicus: for that which was lacking on your part they have supplied.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

badala ya kuziba pengo la kipato miongoni mwa wananchi, watumiaji wa mtandao wanaamini kuwa sheria mpya inakusudia kuiba fedha kutoka kada ya wafanyakzi.

English

instead of balancing the wealth gap, netizens believed that the new law is to steal money from the working middle class.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bahati mbaya, kile tunaona tunafanikiwa ni kukuza pengo kati ya matajiri na masikini na kutengwa kwa maeneo ya vijijini kwa maana ya maendeleo ya miundombinu na shughuli za uchumi.

English

unfortunately, what we see being achieved is the ever widening gap between the rich and the poor and marginalization of rural areas in terms of infrastructure development and economic activities.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pale ambapo ufumbuzi huo huo unatumika, tutapata matokeo yale yale – kupanuka kwa pengo la vipato, ongezeko la gharama za maisha na kuanguka kwa kiwango cha maisha.

English

when the same solutions are used, we will only get the same results - widening income gap, rising cost of living and a deteriorating quality of life.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, ukuaji barani afrika unategemewa - benki ya dunia inajaribu kuchora picha chanya ya uwezo wa afrika, lakini inatahadharisha juu ya pengo kubwa lililopungua baina ya masikini na matajiri:

English

however, growth in africa is expected - the world bank paints an optimistic picture of african potential, but warns against persistently high inequalities:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

uchangiaji wa covid 19 umeleta viwango visivyo vya kawaida vya maumivu sio tu kwa watu binafsi bali pia taasisi na serikali wanapotimiza wajibu wao. hii imetoa wito wa njia nyingi za kupunguza uhaba, hasa katika uwanja wa matibabu. katika kuzingatia wito huu, wafadhili wengi na watakia mema walijaza pengo na vifaa vya matibabu, madawa ya kulevya, vyoo, chakula, na vifaa vya kinga vya kibinafsi (ppe) ati ya wengine. tunatarajia rela zaidi

English

the emergence of covid-19 has brought with it unprecedented levels of anguish not only to individuals but also institutions and governments as they deliver on their mandate.

Last Update: 2021-12-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,747,777,774 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK