From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
anwani ya barua pepe ya akaunti ya google:
ruhusu kifaa hiki cha iphone kifikie barua pepe yako na data nyingine ya akaunti ya google
Last Update: 2021-05-21
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
anuani yake ya barua pepe ya gmail imewekwa, kwa hiyo mwandikie na uulize swali lolote!
his gmail address is provided, so write and ask any questions!
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nilikiomba kituo hicho cha redio kurekebisha makosa hayo ya kiuhalisia kwa habari hiyo ya kutengeneza kwa njia ya barua pepe ya tarehe 14 septemba.
i asked the station to correct the factual errors with that piece of fabricated news in an email dated 14 september.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mapema leo, prita mulyasari, mama wa nyumbani aliyeshtakiwa kwa kuandika barua pepe ya kulalamikia huduma mbaya iliyotolewa na hospitali, alipatikana na hatia ya kuchafua jina la hospitali hiyo ya binafsi na mahakama kuu ya tangerang.
earlier today, prita mulyasari, a housewife who was prosecuted for writing a complaint email regarding a bad hospital service, was found guilty for defaming a private hospital by the tangerang high court.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
maisha na nyakati za mwenye nyumba wa kihindi(the life and times of an indian homemaker)inaleta sehemu ya barua pepe ya shujaa aliyeponea mateso ya ngono utotoni ambaye pia alitizama sehemu ya pili ya swala hilo:
the life and times of an indian homemaker shares an email from a courageous survivor of child sexual abuse who watched the second episode on the same subject:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mnamo aprili 8 “anonymous tunisia” kikundi kisichotambulisha majina ya wanachama wao nchini tunisia (ambacho kinadai kuwa na uhusiano na kikundi cha watu “wasiojitambulisha” ) waingiliao mawasiliano ya watu kiliingilia mawasiliano the ya barua pepe ya waziri mkuu wa tunisia hamadi jebali.
on april 8 anonymous tunisia (which claims affiliation with the hacking group anonymous) hacked the emails of the tunisian prime minister hamadi jebali.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.