From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wananchi wanataka kuwa na uwezo wa kujisikia wako salama popote pale walipo.
citizens want to be able to feel safe wherever they are.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
na amenijaalia ni mwenye kubarikiwa popote pale niwapo. na ameniusia sala na zaka maadamu ni hai,
"and he has made me blessed wheresoever i be, and has enjoined on me salat (prayer), and zakat, as long as i live."
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ninatumia haki zangu za kujieleza ipasavyo bila la kuingilia haki za wengine, na hili ninataka kulionesha popote pale.
i use my free speech rights responsibly without hindering other peoples’ rights and i want to practice it everywhere.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa sababu ya ukosefu wa fedha, wanaishi popote pale mara nyingi ambapo hapana maji ya kunywa wala hakuna mfumo wa maji taka.
because of lack of money, they live in neighborhoods where there is neither drinkable water nor sewer system.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nia yangu imekuwa daima kuihubiri habari njema popote pale ambapo jina la kristo halijapata kusikika, nisije nikajenga juu ya msingi wa mtu mwingine.
yea, so have i strived to preach the gospel, not where christ was named, lest i should build upon another man's foundation:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
mimi katika penzi lako ni zaidi ya simba, popote pale nitakulinda, na kwa penzi la dhati nitakupa, nakupenda sana kpenzi changu, nakupenda mno mpenzi wangu.
mimi katika penzi lako ni zaidi ya simba, popote pale nitakulinda, na kwa penzi la dhati nitakupa, nakupenda sana kpenzi changu, nakupenda mno mpenzi wangu.
Last Update: 2021-06-17
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
bado, hata hivyo pale ambapo shauku kwa vyombo vikuu vya habari ikindelea kupungua, sisi ndio tunaojibidiisha kuendelea kuweka kumbukumbu ya kile ambacho wanablogu wadogo popote pale walipo wanataka dunia ikifahamu.
still, where mainstream media interest wanes, we're the ones who strive to continue documenting what local bloggers everywhere need the world to know.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hauwi mnong'ono wa watu watatu ila yeye huwa ni wane wao, wala wa watano ila yeye huwa ni wa sita wao. wala wa wachache kuliko hao, wala walio wengi zaidi, ila yeye yu pamoja nao popote pale walipo.
never is there any whispering among three but he is their fourth; nor among five but he is their sixth; nor fewer nor more but he is with them wherever they may be.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.