Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kwenye barua hiyo, pourshajari aliandika:
in the letter, pourshajari wrote:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
serikali inakataa kumsafirisha bw. pourshajari kwenda kupata huduma za matibabu na wanamnyima huduma hiyo, ili apoteze maisha.
the authorities are refusing the transfer of mr. pourshajari to a medical facility and are depriving him of all his medications, in the hope that he will soon die.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mohammad reza pourshajari, mwanablogu aliyefungwa hela anayefahamika kwa jina lake la kalamu siamak mehr, aliandika barua ya wazi kutoka jela ambapo alizungumzia vitendo vya utesaji na hali ngumu anayokabiliana nayo gerezani.
mohammad reza pourshajari, a jailed blogger known by his pen name siamak mehr, wrote an open letter from prison where he spoke of torture and extremely difficult conditions in prison.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: