From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wote waliswali swala tano kwa siku, walitoa sadaka kwa maskini, walikwenda hija na walikuwa na walithamini sana kuomba rehma za mwenyezi mungu, allah.
both pray five times a day, give to the poor, have performed hajj and end all praise with the grateful invocations of allah’s grace.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
himidi zote zinamstahiki mwenyezi mungu aliyetupa utulivu wa imani ya uislamu. rehma na amani ziwe juu ya mtume muhammad r aliyewaongoza watu kutoka kwenye giza kwenda kwenye nuru. kila binadamu mwenye akili timamu anafahamu kuwa ulimwengu huu umeumbwa kwa lengo maalum. ili kutimiza lengo hili allah mtukufu aliwatuma mitume mbalimbali pamoja na dini ili kuwaongoza watu. dini zote hizi kimsingi ni moja na zimeitwa uislamu. uislamu ni zawadi kubwa ambao allah alimtunuku mwanadamu kwa sababu
all praise belongs to god who has given us the tranquility of islam's faith. may peace and blessings be upon the prophet muhammad, who led the people from darkness to light. every reasonable human being knows that this world was created for a specific purpose. in order to accomplish this purpose allah almighty sent various prophets as well as religions to guide the people. all these religions are basically one and have been called islam. islam is the greatest gift that god has bestowed upon man because
Last Update: 2024-09-06
Usage Frequency: 1
Quality: