From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
ripoti ya makusanyo
income report
Last Update: 2021-08-12
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
pokea ripoti ya mwezi
Last Update: 2023-11-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
pia tunatoa ripoti ya kila mwaka.
we also produce an annual report.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
je! imekufikia khabari ya msiba wa kufudikiza?
certainly the news of the calamity that will overwhelm has come to you!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hii ni ripoti ya ukaguzi wa samani zote zilizopo emi
report
Last Update: 2023-08-27
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ripoti ya unesco kuhusu vyombo vya habari vya singapore
unesco report on singapore media · global voices
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
indonesian matters inanukuu ripoti ya mwaka 2007 kuhusu sababu za talaka:
indonesia matters cites a 2007 study about the causes of divorce:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
afrika kusini - mhanga wa ubakaji atambulishwa kwa kificho katika ripoti ya mwezi oktoba
south africa - rape-victim indirectly identified in an october 2012 report
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sababu ya kushindwa kufanya mitihani hiyo ni kwasababu nilipata dharura ya msiba wa baba mkubwa nyamboge mkoani geita
Last Update: 2024-04-17
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
c/sababu ya kushindwa kufanya mitihani hiyo nilipata dharura ya msiba wa baba mkubwa nyamboge mkoani geita
c/because of the failure to perform these tests i had the emergency of the great-grandfather nyamboge disaster in the region of geita
Last Update: 2024-04-17
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
je, hivi, mchezo wa soka una manufaa makubwa ya kusababisha mtu ujiweke kwenye hatari ya msiba kama huo?
is football worth all the tragedy that seems to follow it?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
timu za misaada bado zinaendelea kutathmini uharibifu uliosababishwa na vimbunga viwili, na takwimu zinategemewa kuongezeka wakati ripoti ya uharibifu uliotokea ikikusanywa.
relief teams are still assessing the damage caused by the two storms, and figures are expected to rise as more information on the full extent of the damage is gathered.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
je, trinis inajali ripoti ya dat de iliyotolewa na tume ya kuchunguza jaribio la mapinduzi ya abu bakr mwaka 1990 ambayo ndio kwanza imetoka?
do trinis care dat de report from de commission ah enquiry into abu bakr coup attempt in 1990 finally out?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kulingana na ripoti ya vyombo vya habari tarehe 30 machi, rais trump wa marekani aliamua kuongeza miongozo ya watu kukaa mbali kijamii hadi tarehe 30 aprili.
per media reports on 30 march, u.s. president trump has decided to extend social distancing guidelines until 30 april.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa kutumia dondoo kutoka kwenye ripoti ya der spiegel kuhusu watu walionyuma ya muundo wa isis, mwanablogu wa palestina iyad el-baghdadi anatwiti:
taking the cue from a der spiegel report on the mastermind behind the structure of isis, palestinian blogger iyad el-baghdadi tweets:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ripoti ya visa kumi ya maambukizo ya mers- cov wakati wa ujauzito nchini saudia arabia ilionyesha kuwa uwasilishaji wa kiliniki unatofautiana, kutoka kwa maambukizo isiyo kali hadi kali.
a report of ten cases of mers- cov infection in pregnancy in saudi arabia showed that the clinical presentation is variable, from mild to severe infection.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
watabiri wanatarajia ripoti ya kila mwezi juu ya bei za watumiaji wa marekani kuonyesha ongezeko lingine la kawaida mwezi uliopita, kuimarisha matarajio ya kuenea kwa kiwango cha riba cha shirikisho la hifadhi ya shirikisho mnamo septemba.
forecasters expect a monthly report on us consumer prices to show another modest increase last month, reinforcing widespread expectations for a federal reserve interest rate cut in september.
Last Update: 2024-08-14
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mwanablogu wa ki-lebanoni habib battah anaeleza namna alivyoshikiliwa bila hiari, akilazimishwa kufuta picha katika kamera ya simu yake na kudhalilishwa mfululizo katika posti hii inayohusiana na ripoti ya beirut.
lebanese blogger habib battah narrates how he was held against his consent, forced to delete photographs of ruins from his phone camera and repeatedly assaulted in this post on the beirut report.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hivi karibuni ripoti ya idara ya haki za binadamu ya marekani kuhusu masedonia, ilichapishwa tarehe 28, 2014, inabainisha masuala yafuatayo ya msingi, katika mengi, yanayoitafuna nchi hiyo:
the most recent us state department human rights report on macedonia, published on feb. 28, 2014, notes the following among the key issues plaguing the country:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hatua ya serikali ya irani kutoa huduma hizi kwa wakimbizi imekosolewa sana, hata hivyo, ripoti ya mwaka 2013 shirika la haki za binadamu iliyoonesha kwamba wakimbizi wa afghanistani walikuwa wakitendewa uonevu na wakati mwingine kunyanyaswa na wananchi wa irani na serikali.
iran's treatment of this demographic has been subject to past criticism, however, most notable in the 2013 human rights watch report that detailed the mistreatment and sometimes abuse afghans faced from both iranian society and the government.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: