From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
awali, vyanzo kutoka serikalini vilipingana na habari iliyotolewa tarehe 9 januari na shirika la habari la reuters.
at first, official sources contested the story from the international news agency reuters on january 9.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
gazeti la kielekroniki la kila wiki la proceso mapema lilitoa taarifa ya kupotea kwa mwandishi huyu wa habari huku likihitaji majibu kutoka serikalini.
the electronic version of the weekly proceso had previously reported the disappearance of the reporter, demanding answers from the authorities.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mbunge mmoja hata alidai kuwa warsha ya sesame ingepoteza msaada wa kifedha kutoka serikalini kama ingerusha kipindi chenye mhusika huyo kwenye nchi yetu.
one legislature even claimed that the sesame workshop would lose its government funding if it aired a program with such a character in our country.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
katika shirika la utafiti la taifa nchini ufaransa (cnrs) kwa mfano, pamoja na kuwa na nguvu kazi imara, ruzuku kutoka serikalini iliongezeka kwa euro 293 bilioni kati ya mwaka 2006 na 2011.
at the french national centre for scientific research (cnrs), with a stable employee workforce, public subsidy increased by 293 billion euros between 2006 and 2011.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ninajua vizuri sana kwamba wanahangaika na kukosekana kwa mafungu ya fedha kutoka serikalini na hivuo vinafikiri nidhamu ya matumizi ni njia pekee ya kukabiliana na mdodoro wa mwaka 2008.
i know very well that they've suffered budget cuts by governments that still think austerity is the road to recovery from the crash of 2008. follow our in-depth coverage: the struggle to #stopebola in west africa
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii wanadhani huenda youtube imeziondoa kufuatia malalamiko ya baadhi ya watazamaji, ila kwamba walioziweka ndio wameziondoa video hizo, au kwamba zimeondolewa kwa shinikisho kutoka serikalini bado haijulikani.
some social media users have suggested that youtube could have taken them down following user complaints, that the original posters of the videos have now removed them themselves, or that they had been forced to remove them under pressure from the authorities.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mitandao ya kijamii imefanya kazi kubwa katika kusambaza habari za shambulio la kigaidi lililofanyika kwenye jengo la westgate, nairobi, kenya, lakini hata hivyo taarifa hizo zisizothibitishwa zilisambaa mithili ya mwale wa radi, iwe ni kutoka serikalini, kwa magaidi wenyewe, waandishi wa habari na hata raia wa kawaida katika mitandao ya facebook na twitter.
social media played a major role in the dissemination of news about the terrorist attack on westgate mall in nairobi, kenya, but unverified information spread with lightning speed, including from government, terrorists, journalists and citizens on facebook and twitter.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.