Results for saa 24 zilizopita translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

saa 24 zilizopita

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

huenda virusi vya sars-cov-2 vikadumu kwenye kadibodi hadi saa 24 na kwenye plastiki hadi siku 3.

English

the sars-cov-2 virus may last on cardboard for up to 24 hours and on plastic for up to 3 days.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

dalili zao ziliboreka ndani ya saa 24, ikiwa ni pamoja na kupungua kwa hali ya kuchomeka na viwango vya virusi na kuboreka kwa kuloweshwa kwa hewa safi ndani ya damu.

English

their symptoms improved within 24 hours, accompanied by reduced inflammation and viral loads and improved oxygen saturation in the blood.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maisha nusu ya rhace2 kwa binadamu ni saa 10 na itaanza kufanya kazi baada ya dakika 30 pamoja na sababu ya matokeo (muda) saa 24.

English

the half-life of rhace2 in human beings is about 10 hours and the onset of action is 30 minutes in addition to the course of effect (duration) of 24 hours.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwanza matangazo yalikatwa kwa saa 24, na mnamo tarehe 1 aprili, 2011 directscoop, ambayo ni blogu ya habari za kiraia za kutoka afrika, ilitangaza kwamba mawimbi ya kituo hicho yalikuwa yameanza kupatikana tena:

English

the signal was first cut for 24 hours, and on april 1, 2011 directscoop, a citizen information blog focused on africa, announced that the signal of the channel was back:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kimberly-clark, kampuni inayotengeneza kleenex toilet tissue na solaris paper inayotengeneza sorbent, zilisisitiza kwamba zilizkuwa zinafanya kazi saa 24/7 ili kudumisha usambazaji wa bidhaa, kulingana na ripoti ya news.com.au.

English

kimberly-clark, which makes kleenex toilet tissue, and solaris paper which makes sorbent, emphasized they were working 24/7 to maintain the supply, according to the news.com.au report.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,770,603,215 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK