Results for sakafu ya chini translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

sakafu ya chini

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

shule ya chini

English

junior secondary education

Last Update: 2024-02-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

video ya chini ya miaka 18

English

video za ngono chini ya miaka 18

Last Update: 2018-12-28
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maambukizi ya njia ya chini ya pumu (lrti)

English

lower respiratory tract infection (lrti)

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

inampa mpakistani muislamu hasa fikra za hali ya chini.

English

it gives the typical pakistani muslim mediocre mindset.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na tukaipamba mbingu ya chini kwa mataa na kwa ulinzi.

English

and we adorned the lower heaven with lamps, and firmly secured it.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

familia zinauza mifugo yao kwa bei ya chini ili kununua chakula.

English

families are selling off their livestock at reduced prices to buy food.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hii imesababisha utambuzi wa mapema wa usuli miongoni wa wagonjwa wa hatari ya chini.

English

this has led to initial early identification of background spread in low-risk patients.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hesabu ya chini ya visa visivyo kali inaweza kusababisha kiwango cha vifo kukadiriwa kupita kiasi.

English

the under-counting of mild cases can cause the mortality rate to be overestimated.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

watafiti wamepata kwamba abiria kwenye viti vya dirisha wana hatari ya chini ya kutangamana na watu wagonjwa.

English

researchers have found that passengers in window seats have less risk of contact with sick people.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hakika wanaafiki watakuwa katika t'abaka ya chini kabisa motoni, wala hutompata yeyote wa kuwanusuru.

English

indeed the hypocrites will be in the lowest reach of the fire, and you will never find any helper for them,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hivyo, ikihitajika, steroids zinapaswa kutumika kwa dozi ya chini na kwa muda mfupi kwa wagonjwa wa covid-19.

English

thus, if needed, steroids should be used at low dosage and for a short time in covid-19 patients.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

basi akazifanya mbingu saba kwa siku mbili, na akazipangia kila mbingu mambo yake. na tukaipamba mbingu ya chini kwa mataa na kwa ulinzi.

English

and in two days he formed seven heavens, and revealed to each heaven its functions; and we adorned the lower heaven with brilliant lamps [stars] and guarded it.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tangazo la hali ya hatari ya baridi kwa watoto wa syria liliowekwa na unicef mnano mwezi desemba 2012 katika njia ya treni ya chini kwa chini jijini london.

English

unicef’s children of syria winter crisis appeal ad in a london subway dec 2012.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mikakati inayohimiza watu kuosha mikono inaweza kupunguza vipindi vya kuendesha kwa takribani theluthi moja, na hii inaweza kulinganishwa na kutoa maji safi katika maeneo ya mapato ya chini.

English

interventions that promote hand washing can reduce diarrhoea episodes by about a third, and this is comparable to providing clean water in low income areas.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kutengwa kwa wavulana kumedhoofisha ndoto ya kufikia usawa wa kijinsia ambao bado ni wasiwasi duniani. ubaguzi wa mtoto wa kiume unajidhihirisha katika hali ya chini ya kujithamini na umesababisha mengi kupitia jamii

English

the exclusion of boys has crippled the dream to achieve gender equality which remains a global concern. the discrimination of the male child manifests itself in low self esteem and has led to a lot through the society

Last Update: 2023-02-26
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

bila kujali uhuru umefichwa au la, ninachohitaji ni kuona siku moja kuwa mfumuko wa bei za bidhaa na kukosekana kwa ajira vinapungua ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuwa watu wa hali ya chini hawajihusishi na uuzaji wa madawa ya kulevya..

English

i don't want freedom to wear the veil or not, i want the day to come when inflation and unemployment rates are lowered and marginalized people do not need to sell drugs.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hata hivyo, covid-19 ina hali ya chini ya ukali na viwango vya vifo kuliko sars lakini uwezo mkubwa wa kupitishwa na kuambukiza watu wazee kuliko vijana na wanaume zaidi ya wanawake.

English

however, covid-19 has lower severity and mortality than sars but is much more transmissive and affects more elderly individuals than youth and more men than women.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

isitoshe, huduma zinazoshiriki katika uchunguzi wa sasa wa viarolojia sasa zinachukua sampuli kwa ajili ya uchunguzi wa covid-19 kutoka kwa wagonjwa wenye hatari ya chini wanaoonyesha maambukizi ya njia ya chini ya pumu.

English

additionally, practices participating in current virology surveillance are now taking samples for covid-19 surveillance from low-risk patients presenting with lrtis.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

gerard henderson, mkurugenzi mtendaji wa the sydney institute, anabashiri matokeo ya chini-chini katika mahusiano ya kisiasa katika kanda hii kwenye makala ya maoni ya gazeti la sydney morning herald :

English

gerard henderson, executive director of the sydney institute, speculates on the geopolitical undertones in an opinion piece for the sydney morning herald :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maelezo ya chini yanasema, "kampeni ya 'kimbunga yakinifu' yamalizika mara baada ya siku 27 za uhalifu na mauaji ya vichanga na bila ya kufikia hata moja ya matazamio yake"

English

a sub-caption states, "operation 'hurricane certainty' ends after 27 days of crime and infanticide without achieving any of its goals."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,773,394,034 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK