Results for sala ya jioni translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

sala ya jioni

English

the evening prayer

Last Update: 2023-10-26
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

habari ya jioni

English

good afternoon

Last Update: 2023-09-05
Usage Frequency: 3
Quality:

Swahili

sala ya moyo

English

meditation

Last Update: 2023-09-05
Usage Frequency: 8
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

nilisoma masomo ya jioni

English

nitakuombea kwa mungu

Last Update: 2021-04-20
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

sala ya kutubu

English

a prayer of repentance

Last Update: 2023-09-07
Usage Frequency: 5
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

baada ya huba ya jioni kufifia

English

after the evening passion fades

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kuongozwa sala ya toba

English

guided prayer of repentance

Last Update: 2019-09-29
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

sala ya kutubu in english

English

the prayer of repentance in english

Last Update: 2022-10-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

safari yake ya asubuhi ni mwendo wa mwezi mmoja, na safari yake ya jioni ni mwendo wa mwezi mmoja.

English

its morning's journey took one month, and the evening's one month.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

jana majira ya jioni wakati obama alipokuwa anaondoka, ahmed salim aliweza (@asalim86) kunasa hisia za watu:

English

as obama departed, ahmed salim (@asalim86) captured what the country felt yesterday evening:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na suleiman tuliufanya upepo umtumikie. safari yake ya asubuhi ni mwendo wa mwezi mmoja, na safari yake ya jioni ni mwendo wa mwezi mmoja.

English

(we made subservient to) solomon the wind that travelled a month's journey in the morning and a month's journey in the evening.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kila kitu alichoumba mungu ni chema, wala hakuna kinachohitaji kukataliwa, bali vyote vipokelewe kwa sala ya shukrani,

English

for every creature of god is good, and nothing to be refused, if it be received with thanksgiving:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa mujibu wa al-rasheed, walikuwa wamekaa nje ya mkahawa wakati gari la cpvpv lilipokuwa likipita kwa kuwaamuru watu kuondoka eneo hilo waende kwenye swala ya jioni.

English

according to al-rasheed, they were sitting outside a cafe when a cpvpv's car passed by to call people to leave the area to perform evening prayers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

basi, ungamanianeni dhambi zenu, na ombeaneni, ili mpate kuponywa. sala ya mtu mwema ina nguvu ya kutenda mengi.

English

confess your faults one to another, and pray one for another, that ye may be healed. the effectual fervent prayer of a righteous man availeth much.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ninachotaka ni kwamba kila sala ya jummah inaimarisha imani yako kwa mwenyezi mungu na kukupa amani, raha, na msamaha. mubarak, jumma.

English

all i want is that each jummah prayer strengthens your trust in allah and provides you all peace, pleasure, and forgiveness. mubarak, jumma.

Last Update: 2023-06-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wizara ya awqaf na masuala ya kiislam ya jordan iliitisha sala ya maombolezo itakayofanyika katika misikiti ya mfalme tarehe 4 februari na pia kuyataka makanisa yote ya jordan yaomboleze kifo cha shujaa huyu kwa kuzipiga kengele za makanisa kwa taratibu na kwa mfululizo.

English

jordan's ministry of awqaf and islamic affairs has called for a funeral prayer in absentia to be held in all of the kingdom's mosques on february 4, while jordan's churches tolled their bells mourning their fallen hero.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nawakutakeni idhini iliyo wamiliki mikono yenu ya kulia na walio bado kubaalighi miongoni mwenu mara tatu - kabla ya sala ya alfajiri, na wakati mnapo vua nguo zenu adhuhuri, na baada ya sala ya isha.

English

let your legal slaves and slave-girls, and those among you who have not come to the age of puberty ask your permission (before they come to your presence) on three occasions; before fajr (morning) prayer, and while you put off your clothes for the noonday (rest), and after the 'isha' (late-night) prayer.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

jumapili nilijikuta kwenye masaa matatu ya kuzimu hapa hapa duniani. nikaapa, pale pale, baada ya jioni ile ya kwanza (na ya pekee) ya kujionea mwenyewe soka la afrika kusini linavyokuwa kwamba, sitajiruhusu kujikuta mahala pale tena.

English

but on sunday i was subjected to more than three hours of this hell on earth.i vowed, then and there, that after that first (and only) evening of the authentic south african soccer experience, i would never ever allow myself to be subjected to it again.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

enyi mlio amini! nawakutakeni idhini iliyo wamiliki mikono yenu ya kulia na walio bado kubaalighi miongoni mwenu mara tatu - kabla ya sala ya alfajiri, na wakati mnapo vua nguo zenu adhuhuri, na baada ya sala ya isha.

English

believers, let [even] those whom you rightfully possess, and those who are under age ask your leave on three occasions when they come in to see you: before the morning prayer, when you have taken off your garments in the heat of noon, and after the evening prayer.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,772,780,132 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK