From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
sala ya malaika wa bwana
the prayer of the angel of the lord
Last Update: 2023-03-17
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
upendo wa bwana
Last Update: 2021-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
msimamizi wa bwana harusi
msimamiziwa bwana harusi
Last Update: 2022-07-14
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
roho wa bwana yesu, pokea sifa milele
the blood of jesus is a guarantee
Last Update: 2021-03-28
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kuongozwa sala ya toba
guided prayer of repentance
Last Update: 2019-09-29
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
walipoingia ndani, hawakuona mwili wa bwana yesu.
and they entered in, and found not the body of the lord jesus.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sala ya kutubu in english
the prayer of repentance in english
Last Update: 2022-10-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
papo hapo malaika wa bwana akamwangusha herode chini kwa sababu hakumpa mungu hizo sifa. akaliwa na wadudu, akafa.
and immediately the angel of the lord smote him, because he gave not god the glory: and he was eaten of worms, and gave up the ghost.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nikutakie usiku mwema na malaika wa kheri wakukupepee usiote ndoto chafu
good night, and the angels of the good will shine on you
Last Update: 2023-06-07
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
daima tunamshukuru mungu, baba wa bwana wetu yesu kristo, wakati tunapowaombea.
we give thanks to god and the father of our lord jesus christ, praying always for you,
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wala si ajabu, maana hata shetani mwenyewe hujisingizia kuwa malaika wa mwanga!
and no marvel; for satan himself is transformed into an angel of light.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
malaika wa tatu akamwaga bakuli lake katika mito na chemchemi za maji, navyo vikageuka damu.
and the third angel poured out his vial upon the rivers and fountains of waters; and they became blood.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hao malipo yao ni kuwa ipo juu yao laana ya mwenyezi mungu na ya malaika na ya watu wote.
(as for) these, their reward is that upon them is the curse of allah and the angels and of men, all together.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sema: atakufisheni malaika wa mauti aliye wakilishwa juu yenu; kisha mtarejeshwa kwa mola wenu mlezi.
(muhammad), say, "the angel of death, who is appointed over everyone of you, will cause you to die and to your lord you will all return."
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
maana patatolewa amri, sauti ya malaika mkuu, sauti ya tarumbeta ya mungu, naye bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni. ndipo wale waliokufa wakiwa wanamwamini kristo watafufuliwa kwanza.
for the lord himself shall descend from heaven with a shout, with the voice of the archangel, and with the trump of god: and the dead in christ shall rise first:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"nawaambieni kweli, kila mtu anayekiri hadharani kwamba yeye ni wangu, mwana wa mtu naye atakiri mbele ya malaika wa mungu kwamba mtu huyo ni wake.
also i say unto you, whosoever shall confess me before men, him shall the son of man also confess before the angels of god:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kisha malaika wa saba akapiga tarumbeta yake. na sauti kuu zikasikika mbinguni zikisema, "sasa utawala juu ya ulimwengu ni wa bwana wetu na kristo wake. naye atatawala milele na milele!"
and the seventh angel sounded; and there were great voices in heaven, saying, the kingdoms of this world are become the kingdoms of our lord, and of his christ; and he shall reign for ever and ever.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting