From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kwa wale walio katika mji wa maralal unaweza kututembelea katika kijiji cha shabaa. baadhi ya watu wakiangalia umbali kutoka shule ya sekondari ya samburu mixed. ili kukuamuru silage au bales
for those in maralal town you can visit us in shabaa village. just some view distances from samburu mixed secondary school. to order you silage or bales
simba wa ewaso iliweka picha kadhaa – pamoja na wito – ambavyo vilitumwa na mwanablogu, shivani, ambaye kwa sasa yupo samburu.
the ewaso lions posted some photos - together with an appeal - which were sent by their blogger, shivani, who's currently in samburu.
alfajiri siku ya alhamisi, tarehe 4 machi 2010, mafuriko makubwa yaliikumba samburu huko kaskazini mwa kenya na kuharibu nyumba 6 za kulala watalii watalii, baadhi ya kambi za utafiti wa wanyama pori na kuwaacha maelfu wakiwa katika paa za nyumba na kwenye miti.
at dawn on thursday, 4 march 2010, a massive flash flood hit samburu in northern kenya destroying 6 tourist lodges, some wildlife research camps and leaving thousands marooned on roof tops and on trees.
blogu ya paula inasema, “hivi sasa maji ya mafuriko bila ya shaka yameanza kupungua lakini watu wote wameondolewa kutoka kambi zote katika samburu na shaba “ hii ni kutokana na kutarajiwa kwa mvua zaidi ambazo zinaweza kunyesha.mwanablogu wa simba wa ewaso nasema, “jambo hasa linalotisha ni kuwa mvua nyingi zaidi inatarajiwa.”
paula's blog post says, "as of now the flood waters are apparently receding but all the camps in samburu and shaba have been evacuated." this is in anticipation of more rain that is likely to come. the ewaso lions bloggers say, "what’s especially frightening is that a lot more rain is expected."