From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
sergey ezhov, mwanachama wa limonov, ambalo ni vuguvugu la siasa nchini urusi aligombea nafasi ya halmashauri ya jiji katika mji mdogo wa sarai.
sergey ezhov, a member of limonov’s other russia movement, ran for city council in the tiny town of sarai.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mji mdogo wa sarai ambao una sifa ya utulivu na amani ghafla ulifuka vipeperushi vya uongo na kupakana matope, wapiga kura walifuatwa kokote walikokuwa iwe ni makazini au mashuleni, na kuambiwa wasimpigie ezhov kura kwa sababu yoyote.
quiet and peaceful sarai was inundated with deceitful and provocative leaflets, voters were rounded up where they work and study, and told to not for ezhov for any reason.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: