From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kuosha mikono kunapendekezwa kuwa kwa sekunde 15 kimatibabu, kwa kutumia kiwango tosha cha sabuni na maji au mafuta ya kusugua kila sehemu ya mikono.
medical hand-washing is for a minimum of 15 seconds, using generous amounts of soap and water or gel to lather and rub each part of the hands.
alikuwa amezama kwenye kitabu lakini kana kwamba alikuwa na hisia ya sita, alibaini macho yangu ndani ya sekunde chache baada ya kuanza kumuangalia.
she had been immersed in a book but as though she had a sixth sense, she caught my gaze within seconds of it falling on her.
video ifuatayo, iliyopakiwa na mtumiaji wa youtube aitwaye pipehenriquezo, amefupisha mgogoro huu wa mapuche nchini chile katika video inayochukua muda wa sekunde 30.
the following video, uploaded by youtube user pipehenriquezo, summarizes the mapuche conflict in chile in 30 seconds.
kama vile mtumiaji wa twita krassnova alivyoona , alama ya twita ya #metro29 ilikuwa na jumbe 40 kwa sekunde wakati idhaa za televisheni ziliweza kuandaa habari 4 tu.
as twitter user krassnova noticed , twitter hashtag #metro29 had 40 tweets per second while tv channels managed to prepare just 4 stories.
fungua www.google.com na andika “julius malema is” suburi sekunde moja au mbili ili uone mapendekezo ambayo google inayatoa.
open www.google.com and type in “julius malema is" – wait a second or two to see the suggestions that google will recommend.
mmoja wao alichukua sekunde chache kuingia bila ya matatizo yoyote; mwingine hakuweza kuingia, alizuiwa na mlango unaozunguka, ambao ni kitu cha kawaida katika mabenki mengi nchini brazil.
one of them took a few seconds to get in with no issues at all; the other one could not get in, barred at the revolving door, a regular feature in many brazilian banks.
cdc pia inapendekeza kuwa watu waoshe mikono mara kwa mara kwa kutumia sabuni na maji kwa angalau sekunde 20, hasa baada ya kwenda chooni au wakati uchafu unaonekana kwenye mikono, kabla ya kula na baada ya kupenga kamasi, kukohoa au kupiga chafya.
the cdc also recommends that individuals wash hands often with soap and water for at least 20 seconds, especially after going to the toilet or when hands are visibly dirty, before eating and after blowing one's nose, coughing or sneezing.
kutoka , simu zenye uwezo wa kuchukua picha za video ili ziwafikie wapelelezi wetu, na mahabusu hao walitupatia vidokezo (kwa njia ya video) vya maisha yao, na polepole, kila video ikiwa na urefu wa sekunde 10 hadi 15, kwa kipindi cha miezi sita.
from the , we mobile phones equipped with video cameras to each of our agents, and the inmates were sending us glimpses into their lives, little by little, 10 to 15 seconds at a time, for six months.