Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
na wakiwa ndugu wanaume na wanawake, basi mwanamume atapata sehemu iliyo sawa na ya wanawake wawili.
and if the heirs are sisters and brothers, then the male shall have the share of two females.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
wala msijadiliane na watu wa kitabu ila kwa njia iliyo nzuri kabisa, isipo kuwa wale walio dhulumu miongoni mwao.
argue not with the people of the book except in the fairest manner, unless it be those of them that are utterly unjust.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
tafadhali tuunganishe na tovuti zao, blogu, na anwani zao za twita kupitia sehemu iliyo hapa chini!
please link to their websites, blogs, and twitter accounts in the comments section below!
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
pia inaweza kusambazwa wakati mtu anagusa sehemu iliyo na virusi, pamoja na ngozi, na kisha kugusa macho yao, pua, au mdomo.
it may also spread when one touches a contaminated surface, including skin, and then touches their eyes, nose, or mouth.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
na ikiwa wao ni ndugu wa kike wawili, basi watapata thuluthi mbili za alicho acha maiti. na wakiwa ndugu wanaume na wanawake, basi mwanamume atapata sehemu iliyo sawa na ya wanawake wawili.
and if there be two sisters, then theirs are two-thirds of the heritage, and if they be brethren, men and women, unto the male is the equivalent of the share of two females.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
sehemu zinazotumika huweza kusafishwa na kuua virusi kwa kutumia kemikali tofauti (katika dakika moja ya kutumia kemikali kwa sehemu iliyo na chuma cha pua kisichoingia kutu), pamoja na 62-71% ethanoli, 50-100% isopropanol, 0.1% sodium hypochlorite, 0.5% hydrojeni peroxide, na 0.2-7.5%povidone-iodine.
surfaces may be decontaminated with a number of solutions (within one minute of exposure to the disinfectant for a stainless steel surface), including 62–71% ethanol, 50–100% isopropanol, 0.1% sodium hypochlorite, 0.5% hydrogen peroxide, and 0.2–7.5% povidone-iodine.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.