Results for seneti translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

seneti

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

mabadiliko yanayopendekezwa yanafanywa na baraza la seneti.

English

the proposed revision is currently under review at the senate.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

picha imepigwa kwenye video iliyowekwa na baraza la seneti.

English

screenshot from video posted by the senate.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nigeria: rais wa seneti atakiwa kuwataja wafadhili wa boko haram

English

nigeria: senate president challenged to name boko haram sponsors · global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama jambo hili litapitishwa katika chemba hiyo basi muswada utapelekwa katika seneti.

English

if approved in the chamber, the bill goes to the senate.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maite oronoz wakati wa zoezi la kuthibitishwa kwenye baraza la seneti la puerto rico.

English

maite oronoz during the confirmation process in the puerto rico senate.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baraza la seneti la urugwai lilipiga kura 16 kwa 13 kuhalalisha uzalishaji na uuzaji wa bangi..

English

uruguay's senate voted 16 to 13 to legalize the production and sale of marijuana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tarehe 9 februari, baada ya majuma kadhaa ya mivutano ya siasa, baraza la seneti lilimthibitisha jonathan kama kaimu rais.

English

on february 9th, after weeks of political wrangling, the senate confirmed jonathan as acting president.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mnamo jumatatu, juni 23, 2014, baraza la seneti la puerto rico lilimthibitisha mwanasheria maite oronoz rodríguez kuwa jaji wa mahakama kuu nchini humo.

English

on monday, june 23, 2014, the puerto rico senate confirmed attorney maite oronoz rodríguez as a supreme court judge.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

thomas rivera schatz, rais wa zamani wa seneti, alisema kwenye hotuba yake kali kwneye seneta kwamba mwenyewe ndiye aliyelileta suala la usagaji wake hadharani.

English

thomas rivera schatz, ex-president of the senate, said in a heated speech in the senate that herself brought her sexual orientation to public attention.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nilielekea kwenye masunduku ya kura, moja kwa ajili ya bunge la seneti, na jingine kwa ajili ya baraza la wawakilishi, nikachomeka karatasi zangu kwenye upenyo na nikawa nimemaliza.

English

i made towards the ballot boxes, one for the senate and the other for the house of representatives, put my ballot sheets through the slot and i was done.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivyo, inaonekana kuwa, kilichosalia ilikuwa ni kurejea kwenye kigezo cha masuala ya usalama ambacho, hapo awali, mwezi septemba kilitolewa ufafanuzi na mwenyekiti wa seneti ya chama cha pdp.

English

hence, it looks like a last resort has been to return to the security argument, first articulated in september by the pdp senate president.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

makundi mawili ya vijana kaskazini mwa nigeria jumatano yalimkosoa rais wa seneti, david mark, kutokana na matamshi aliyotoa siku za karibuni akiwataka viongozi wa mikoa ya kaskazini kudhibiti shughuli za kundi linaloogopwa sana la boko haram, connected africa anaripoti.

English

two northern youth groups on wednesday criticized the senate president, david mark over his recent comments urging northern leaders to check the activities of the dreaded boko haram sect, connected africa reports.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,745,813,428 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK