Results for shirikisho la mpira translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

shirikisho la mpira

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

au ni shirikisho la jamhuri ya boko haram.

English

or federal republic of boko haram.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

shirikisho la kitaifa la mpira wa vikapu limesitisha msimu kutokana na wasiwasi unaohusiana na covid-19

English

national basketball association suspends season due to covid-19 concerns

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata kama sauti ni mbaya napelekea kukubaliana na safa (shirikisho la mpira wa miguu afrika kusini) katika hili.

English

even though the noise is awful (horrifying really) i’m inclined to agree with the safa on this one.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

algeria-misri: ugomvi juu ya pambano la mpira kwenye mtandao

English

algeria-egypt: online feud over football match · global voices

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maekelawi ni sekta ya polisi ya shirikisho la upelelezi wa matukio lililopo addis ababa.

English

maekelawi is the federal police crime investigation sector in addis ababa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hauwezi kuamini kuwa sisi ndio wenyeji wa kombe la dunia la mpira wa miguu la fifa, kwa jinsi anavyotenda.

English

you won’t believe that we are hosting the fifa world cup soccer, the way he is acting.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kama shirikisho la urusi litatimuliwa kwenye kundi la g8 mwaka huu, nani achukue nafasi hiyo mwingine zaidi ya ukraine?

English

and if the russian federation does get kicked out of the g8 this year, who better to take its place but ukraine?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakijibu ghasia zinazofaywa na polisi, shirikisho la vyama wa wanafunzi wa chuko kikuu lilitoa wito wa mgomo wa kuingia madarasani wiki hii.

English

in addition, the police instructed the metro company to shut down the admiralty station in order to deploy more riot police to back up the crackdown.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku ya jumatano, shirikisho la kitaifa ya mpira wa vikapu nchini marekani (nba) lilisitisha msimu wake wa mpira wa vikapu wa kitaaluma kutoka na wasiwasi uliohusiana na covid-19.

English

on wednesday, the united states' national basketball association (nba) suspended its professional basketball season due to concerns regarding covid-19.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hii ni “shirikisho la jamhuri ya ethiopia” au ni “jamhuri ya daistopia” (taifa la polisi)?

English

is it the “federal republic of ethiopia” or the “republic of dystopia” (police state)?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

shirikisho la vyama vya wafanyakazi hong kong kimetoa wito wa mgomo wa wafanyakazi, chama cha walimu hong kong na chama kikuu cha wafanyakazi wa jamii wa hong kong nacho kitazindua mgomo wa walimu.

English

but protesters set up a barricade at the entrance of the subway to block police:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mfano, februari 28, saa 2.45 asubuhi urukaji wa ndege 10 za kijeshi ulifuatiliwa na kituo cha uangalizi kilichopo katika eneo la takil kutokea shirikisho la urusi kuelekea ukraine.

English

for instance, on february 28, at 8.45 a.m. the flight of more than 10 military helicopters was monitored by the technical observation post located on the cape of takil from the direction of the russian federation to ukraine.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maafisa wa polisi walisambazwa katika miji ya belo horizonte na fortaleza, miji itayokuwa mwenyeji wa michuano ya kombe la shirikisho la fifa, ambayo yalisaidia kukabiliana na maandamano ya tarehe 20, juni 2013.

English

the national force had also been deployed to belo horizonte and fortaleza, the other cities hosting games in fifa's confederations cup, and helped counter the protests on june 20, 2013.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

michel ambaye alikuwa nchini mwezi uliopita kwa mazugumzo, aliwashinda zaidi ya makocha 60 wa kigeni waliokuwa wameomba nafasi hiyo iliyoachwa wazi baada ya francis kimanzi kuchaguliwa kuwa mkurugenzi wa ufundi kwenye shirikisho la kandanda nchini kenye, fkf.

English

michel, who was in the country last month for negotiations, beat more than 60 foreign coaches who had applied for the position which became vacant after francis kimanzi was redeployed to become the technical director at fkf.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mrengo wa kulia wa shirikisho la mageuzi ya mfumo wa uhamiaji marekani (federation for american immigration reform (fair)) umetangaza kupinga utolewaji wa tps kwa raia wa nchi ya haiti.

English

the right wing federation for american immigration reform (fair) has announced opposition to granting tps for haiti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tajiri mwingine mashuhuri sana, u zaw zaw, ambaye ni rais wa shirikisho la soka la myanmar alitangaza kuwa atachangia tiketi 1,000 za ndege kwa wote wanaohitaji kurudi nchini myanmar, pamoja na kuchangia dola za kimarekani 20,000 kampung ffss.

English

another well-known wealthy personnel, u zaw zaw, who is president of myanmar football federation announced that he will donate 1,000 air tickets for those who want to go back to myanmar, plus additional $20,000 us dollars donation to kampung ffss.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

fifa iliipiga faini shirikisho la kigiriki 30,000 faranga ya uswisi ($ 32,500) kufuatia taarifa ya mabango yaliyoonyeshwa wakati ugiriki iliwashinda slovakia 1-0 mjini athens oktoba 11.

English

fifa fined the greek federation 30,000 swiss francs ($32,500) following reports of far-right banners displayed when greece beat slovakia 1-0 in athens on october 11.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

fifa ililipiga faini shirikisho la soka la croatia 35,000 faranga ya uswisi ($ 38,000) kwa ajili ya matukio wakati wa kushindwa kwake kwa mabao 2-1 dhidi ya ubelgiji nchini zagreb oktoba 11.

English

fifa fined the croatia football federation 35,000 swiss francs ($38,000) for incidents during its 2-1 loss against belgium in zagreb on october 11.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katibu mkuu wa shirikisho la kimataifa la haki za binadamu (fidh) debbie stothard alikumbuka jinsi ambavyo win tin hakuwahi kuacha kukosoa 'dosari za mchakato wa mageuzi' zilizofanywa na serikali ya sasa ya raia:

English

the international federation for human rights (fidh) secretary-general debbie stothard recalled how win tin never backed down in criticizing the ‘flawed reform process’ undertaken by the current civilian government:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kufuatia uamuzi wa cornell kutuma wanafunzi nyumbani baada ya likizo ya masika na kutumia mafunzo kutumia njia za kimtandao, meya wa ithaca aliitisha "hatua la shirikisho la haraka na kali_tutaona athari mbaya ya kiuchumi kwa sababu ya kufunga chuo kikuu cha cornell."

English

in the wake of cornell's decision to keep students home following spring break and transition to virtual instruction, the mayor of ithaca called for "immediate and forceful federal action — we will see a horrific economic impact as a result of cornell university closing."

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,776,576,193 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK