Results for shughuli ya jumlia translation from Swahili to English

Swahili

Translate

shughuli ya jumlia

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

shughuli ya jumlia

English

sunday activity

Last Update: 2022-04-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika miundo hii, shughuli ya kiantimicrobial inatokana na ethanoli au isopropanoli.

English

in these formulations, the antimicrobial activity arises from ethanol or isopropanol.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

namna gani ninafanya kazi yangu si shughuli ya mtu mwingine yeyote kujua, ni yangu.

English

how i treat my work is not anybody’s prerogative, it is mine.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wanakuwa kama wafanyakazi wanaofanya kazi kwenye duka la jasho, wanaowajibika katika shughuli ya kuandika habari.

English

they are like the workers in the sweatshop, responsible for a part of the news making.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

vitengo hivi vina shughuli ya kuaminika dhidi ya lengo la kibiolojia linalohusiana na ugonjwa wa covid-19.

English

these have promising activity against a biological target related to covid-19 disease.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wengi wetu tulianza shughuli ya upigaji picha na kuzituma katika flickr na hasa kundi hili na pengine kujipatia marafiki wa kudumu maishani humuhumu.

English

many of us started photography in flickr and specifically this group and even made life-long friends here.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwenye twita, watumiaji wametingwa na shughuli ya kutenganisha mawasiliano hayo ya waya na kutoa maoni juu ya maudhui yake kwa kutumia ujumbe wa herufi 140.

English

on twitter, users have been busy breaking down the cables and commenting on their content in 140 character messages.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kuongeza haidrojeni peroksaidi iliyoyeyushwa huzidisha shughuli ya kupambana na uchafu.vieuzi vya mikono vilivyo na angalau 60 hadi 95% ya alkoholi hufaa katika kuuwa viini.

English

adding diluted hydrogen-peroxide increases further the antimicrobial activity.hand sanitizers containing a minimum of 60 to 95% alcohol are efficient germ killers.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kufuatilia uzito wa shughuli ya kushukiwa kwa covid-19 kwenye jamii kupitia uchunguzi wa tiba ya kimsingi na kuwekewa msimbo visa vinavyoweza kuwa vya covid-19 vinavyorejelewa kwenye njia ya udhibiti

English

to monitor the burden of suspected covid-19 activity in the community through primary care surveillance and clinical coding of possible covid-19 cases referred into the containment pathway

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

vilevile, shughuli ya seli ya uuwaji asilia kwenye popo imedidimizwa kutokana na kuzalishwa kwa vipokezi vizuizi vya seli ya uuwaji asilia ya nkg2/cd94 na kiwango cha chini cha molekuli za aina ya i za mchanganyiko wa uoanifu wa tishu.

English

besides, the natural killer cell activity in bats is suppressed due to upregulation of inhibitory natural killer cell receptor nkg2/cd94 and low expression level of major histocompatibility complex class i molecules.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

trump hakulipa shirikisho la usimamizi wa dharura (fema) kusimamia shughuli ya serikali kukabiliana na covid-19, jambo ambalo politico liliripoti kuwa liliwaacha baadhi ya wataalamu wa udhibiti wa majanga kutamaushwa.

English

trump did not place the federal emergency management agency (fema) in charge of the government's response to covid-19, which politico reported left some experts in disaster management disappointed.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ashley koen (@a_koen) alikuwa na wasiwasi na wananchi wasiona hatia waliofukuzwa katika jitihada za "kusafisha mji" -ni shughuli ya kawaida katika nchi nyingi za afrika wakati mkuu wa nchi ya kigeni, hasa kutoka ulaya na marekani anapokuja, kwa wazururaji wa mitaani kuondolewa:

English

ashley koen (@a_koen) was concerned about innocent civilians who were rounded up to "clean up the city" - it is a commons practice in most african countries when a foreign head of state, especially from europe and usa visits, for street vendors to be removed:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,945,684,478 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK