From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wanapo somewa aya za mwingi wa rehema huanguka kusujudu na kulia.
for when the revelations of the merciful were recited to them, they fell down, prostrating themselves and weeping.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
maria magdalene akaenda, akawajulisha wale waliokuwa pamoja na yesu, na wakati huo walikuwa wanaomboleza na kulia.
and she went and told them that had been with him, as they mourned and wept.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
wafalme wa dunia waliofanya uzinzi naye na kuishi naye maisha ya anasa wataomboleza na kulia wakati watakapoona moshi wa mji huo unaoteketea.
and the kings of the earth, who have committed fornication and lived deliciously with her, shall bewail her, and lament for her, when they shall see the smoke of her burning,
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
kinachokufanya ucheke na kulia kwa wakati ule ule ni kwamba kwenye uchaguzi huu, uliokuwa na wagombea wawili tu, hamdeen kawa wa tatu baada ya idadi ya kura zilizotangazwa kuharibika
what makes you laugh and cry at the same time is that in elections, with only two candidates, hamdeen is in third place after the votes that have been declared void
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wakati binti yao alipokuwa akingali mchanga, rina alinyong'onyea sana kwa sababu ya kukosa usingizi kutokana na kulia sana kwa binti yao nyakati za usiku.
when their daughter was a baby, rina became very run down from sleep deprivation due to her night crying.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ndipo mtakuwa na kulia na kusaga meno, wakati mtakapowaona abrahamu, isaka na yakobo, na manabii wote wapo katika ufalme wa mungu, lakini ninyi wenyewe mmetupwa nje!
there shall be weeping and gnashing of teeth, when ye shall see abraham, and isaac, and jacob, and all the prophets, in the kingdom of god, and you yourselves thrust out.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
nililia kwa siku tatu, lakini niligundua kuwa mama yangu hakunihurumia kabisa pamoja na kulia kwangu siku nzima chumbani mwangu, kwa hiyo, nilifanya maamuzi mengine: nilichukua kamera yangu haraka na kurudi syria.
i kept crying for three days, but then i realized that my mom didn’t die just to see me crying in my bed the whole day. so i chose the other option: to grab my camera and go back to syria.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hao ndio alio waneemesha mwenyezi mungu miongoni mwa manabii katika uzao wa adam, na katika uzao wa wale tulio wapandisha pamoja na nuhu, na katika uzao wa ibrahim na israil, na katika wale tulio waongoa na tukawateuwa. wanapo somewa aya za mwingi wa rehema huanguka kusujudu na kulia.
it is these upon whom allah has bestowed favour among the prophets, from the descendants of adam; and from those whom we boarded along with nooh; and from the descendants of ibrahim and israel; and from those whom we guided and chose; when the verses of the most gracious were recited to them, they fell down, prostrating and weeping. (* command of prostration # 5.)
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
wakati miili ya waathirika wa ndege ya mh17 ilipowasili nchini uholanzi, mfalme wa nchi hiyo willem-alexander na malkia maxima, na pamoja na familia karibu yote ya kifalme, wakiambatana na maafisa wa serikali walikaa na kutazama na kulia na kuomboleza na taifa wakati majeneza yaliposhushwa kutoka kwenye ndege.
when the bodies of the mh17 crash victims arrived in the netherlands, the dutch king willem-alexander and queen maxima, and the rest of the dutch royal family, along with government officials sat and watched and cried and mourned with nation as the coffins were brought from planes to hearses.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.