From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
siamini
i do not believe
Last Update: 2015-07-14
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
siamini mwili wowote
i dont trust any human
Last Update: 2022-06-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
labda hujaipenda iyo picha ila siamini kama nipo ivo ulivyosema
you may not have liked the photo but i don't believe i am as ivo said.
Last Update: 2022-04-18
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sababu ni kwamba siamini kuwa serikali za kiarabu zina nia njema.
the reason for this is that i don't believe that arab governments have good intentions
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
japokuwa siamini tena katika mahaba na mapenzi mazito niliyokuwa nikiyatamani, na japokuwa siamini uongo wa wanaume wanaposema “nakupenda” wewe bado unaweza kuwa na matumaini kidogo.
although i no longer beleive in romance and that passionate love i used to dream of, and although i no longer trust a man's fake "i love you"s, but you might still have a little hope.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kw amuda mrefu nimekuwa nikifanyia kazi taarifa kadhaa za habari zinazotokea, na nimehitimisha kuwa siamini kabisa namna watu wanavyojaribu kuunganisha matukio kujengea hoja imani zao.
i've been working at the very heart of various breaking news for so long, that i absolutely do not believe in conspiracy theories.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
@buddhashag: siamini katika mapenzi yanayozaliwa kwa kumwona mtu kwa mara ya kwanza tu, ninaamini kifo hutokea kwa mshutuko wa kwanza wa moyo.
@buddhashag: i don’t believe in love at first sight, i believe in death at first heart attack.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: