From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
umeshawahi kufika tanzania hata mara moja
you've never been to tanzania
Last Update: 2025-03-14
Usage Frequency: 1
Quality:
msiombe kufa mara moja tu, bali mfe mara nyingi!
"do not ask for one death but many deaths on this day."
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
basi, kama vile kila mtu hufa mara moja tu, kisha husimama mbele ya hukumu ya mungu,
and as it is appointed unto men once to die, but after this the judgment:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa kuwa yesu kristo alitimiza mapenzi ya mungu, sisi tunatakaswa dhambi zetu kwa ile dhabihu ya mwili wake aliyotoa mara moja tu, ikatosha.
by the which will we are sanctified through the offering of the body of jesus christ once for all.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
ni muda wa wiki tatu tangu mwandishi wa global voices alexander sodiqov kukamatwa mjini khorog, tajikistan, mke wake, musharraf, amemwona mara moja tu.
three weeks to the day since global voices author alexander sodiqov was arrested in khorog, tajikistan, his wife, musharraf, has seen him only once.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
pamoja na kuwa tuliachiwa huru kwa sababu tofauti tofauti, kuna jambo moja linalotufanya tushabihiane- imani yetu thabiti kwamba, hatukustahili kutiwa kizuizini hata mara moja.
even though we were released in different circumstances, one thing makes all of us similar – our strong belief that we didn’t deserve even a single day of arrest.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
yeye aliingia mahali patakatifu mara moja tu, tena hakuwa amechukua damu ya mbuzi wala ng'ombe, bali aliingia kwa damu yake yeye mwenyewe, akatupatia ukombozi wa milele.
neither by the blood of goats and calves, but by his own blood he entered in once into the holy place, having obtained eternal redemption for us.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
ndugu wapenzi, wakati nimo katika jitihada ya kuwaandikieni juu ya ule wokovu tunaoshiriki sote, nimeona lazima ya kuwaandikieni na kuwahimizeni mwendelee kupigana kwa ajili ya imani ambayo mungu amewajalia watu wake mara moja tu kwa wakati wote.
beloved, when i gave all diligence to write unto you of the common salvation, it was needful for me to write unto you, and exhort you that ye should earnestly contend for the faith which was once delivered unto the saints.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
maana ingalikuwa hivyo, kristo angalipaswa kuteswa mara nyingi tangu kuumbwa ulimwengu. lakini sasa nyakati hizi zinapokaribia mwisho wake, yeye ametokea mara moja tu, kuondoa dhambi kwa kujitoa yeye mwenyewe dhabihu.
for then must he often have suffered since the foundation of the world: but now once in the end of the world hath he appeared to put away sin by the sacrifice of himself.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa maana kristo mwenyewe alikufa kwa ajili ya dhambi zenu; alikufa mara moja tu na ikatosha, mtu mwema kwa ajili ya waovu, ili awapeleke ninyi kwa mungu. aliuawa kimwili lakini akafanywa hai kiroho;
for christ also hath once suffered for sins, the just for the unjust, that he might bring us to god, being put to death in the flesh, but quickened by the spirit:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini yeye akamjibu: kumbuka! miaka yote nimekutumikia, sijavunja amri yako hata mara moja. umenipa nini? hujanipa hata mwana mbuzi mmoja nikafanye sherehe pamoja na rafiki zangu!
and he answering said to his father, lo, these many years do i serve thee, neither transgressed i at any time thy commandment: and yet thou never gavest me a kid, that i might make merry with my friends:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
akasema, "mdanganyifu wa kupindukia na mlaghai wewe! wewe ni mtoto wa ibilisi! wewe ni adui wa chochote kile kilicho cha kweli; hukomi hata mara moja kujaribu kuzipotosha njia za bwana zilizonyoka.
and said, o full of all subtilty and all mischief, thou child of the devil, thou enemy of all righteousness, wilt thou not cease to pervert the right ways of the lord?
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
sheria za uchaguzi matokeo yataoneshwa mara tu unapomchagua mgombea mmoja na kubofya kitufe cha “umekamilisha”. utahitaji kuwa wa mbari (asili) ya naijeria. unaweza kupiga kura mara moja tu –(ili kujaribu kukaribiana na tukio halisi)
voting rules the result will be displayed as soon you select one candidate and click the done button you will need to be of nigerian heritage you can only vote once - (just to keep close to the real thing).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: