Results for sikutegemea kama utakuja kunitesa... translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

sikutegemea kama utakuja kunitesa kiasi hiki

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

sikutegemea kama ungefanya hivi

English

ubunifu,kipaji na maarifa

Last Update: 2020-01-28
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

watoto wadogo kiasi hiki hawataweza kuelewa kuhusu vvu na hawataelewa madhara yake.

English

children this young would most likely not understand about hiv and would not understand its consequences.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kama kiasi hiki cha asilimia 10 au 20 cha fedha kitawekwa kwenye akaunti kwa jina la mke, vipi kuhusu mahitaji muhimu ya mke?

English

if 10 or 20% salary is deposited on wife’s name, what about the maintenance money to wife, if she deserts the husband and files a maintenance case on husband?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

inakuwaje kwamba watu wa misri wamebeba chuki nyingi kiasi hiki, na wanataka kulipiza kisasi!

English

how come the egyptian people carries all this amount of hatred and will to take revenge!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wamiliki wa viwanda au hao wanaohusika ni nadra sana kuhukumiwa kwa kushindwa kutoa huduma stahiki kulikopelekea uharibifu mkubwa kiasi hiki.

English

the factory owners or those responsible are rarely convicted for their lapses that lead to the big disasters.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nikamwuliza bei na nikamwambia hiyo ilikuwa ni bei kwa mzungu na kwamba matunda hayo yalipaswa kugharimu kiasi hiki na kwamba nilitaka kununua matunda mawili kwa kiasi hiki.

English

i asked him the price and then told him that was the white person's price and apples should cost this and that i wanted to buy these two apples for this much.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ni vigumu kueleza kwa nini watu hawa wema ajabu kiasi hiki pamoja na profesa awoonor na bi. adatia, wakiwa na mbugua na wahito na roho zote zisizo na hatia zilizopotea katika shambulio la westgate.

English

it is difficult to explain why these two wonderful human beings and professor awoonor and ms. adatia, and mbugua and wahito and all the other innocent souls who perished at westgate mall had to die.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nina uhakika kwamba ikulu ya marekani inaelewa kwamba hata kama kiasi hiki chote kitatolewa katika kipindi cha mwaka mmoja, na kuna uwezekano kwamba kitatolewa kwa kipindi cha miaka 3 mpaka 5, hakitaweza kutosheleza mahitaji ya kiasi cha dola bilioni 23 zinazohitajika kwa mwaka kuwekeza katika nishati ya umeme barani kote.

English

i am sure that the white house is already aware that even if this whole amount was provided in a single year, and it is more likely that it will be provided over a 3 to 5 year timeframe, it will not be able to dent the $23 billion yearly deficit in energy investment on the continent.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

je pesa zote zinakwenda wapi, mwanachama wa jukwaa la uchumi la sohu bry anaonekana kuuliza hilo katika makala hii ya wiki iliyopita, “kwa nini wachina hujitunzia akiba kiasi hiki wakati wote?”, akianza kwanza kwa kulinganisha mifumo ya huduma za afya ya australia, sweden na thailand na ule wa china:

English

where's all the money going, sohu economics forum member bry seems to ask in this post from last week, "why do chinese always save so much?", starting first by comparing the health care systems of australia, sweden and thailand with that of china:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,782,308,023 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK