Results for sisi kwa sisi translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

sisi kwa sisi

English

to each other

Last Update: 2020-07-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kupandishwa cheo kwa sisi ni ishara ya karibu sana ya kuachia madaraka.

English

promotion of general sisi is a sign of imminent resignation.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wengi wao wanafanya kazi na sisi kwa namna tofauti-tofauti na wengine hutuchambua vikali.

English

many of them work with us in different ways and some are critical too.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kweli, sisi kwa asili ni wayahudi, na si watu wa mataifa mengine hao wenye dhambi!

English

we who are jews by nature, and not sinners of the gentiles,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nafikiri muda umefika kwa sisi kujiangalia vyema katika nafsi zetu na kufanya kitu kuhusu ubaguzi wa rangi ambao upo katika nchi hii.

English

i think it is time we took a real good look at ourselves and do something about the racism that exists in this country.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na mtazame huyo mungu wako uliye endelea kumuabudu - sisi kwa hakika tutamchoma moto, kisha tutamtawanya baharini atawanyike.

English

and look at your 'god' to which you remained devoted. we will surely burn it and blow it into the sea with a blast.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

huu ni wakati mzuri wa kuanza upya na kuuonyesha ulimwengu kuwa tuna uwezo wa kuwa watu wenye akili timamu, wenye kufikiri kabla kufungua midomo na kuongea sisi kwa sisi kabla ya kufanya kitu chochote chenye madhara kwa binaadamu.

English

this is a great opportunity to take a big breath and show the world that we are able to be sensible, think before opening mouths and talk to each other before doing anything physically rash.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

huyu kuhani mkuu wetu si mmoja ambaye hawezi kutuunga mkono katika unyonge wetu, ila ni kuhani mkuu ambaye alijaribiwa kama sisi kwa kila namna lakini hakutenda dhambi.

English

for we have not an high priest which cannot be touched with the feeling of our infirmities; but was in all points tempted like as we are, yet without sin.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kristo hakuwa na dhambi, lakini mungu alimfanya ahusike na dhambi kwa ajili yetu, ili sisi kwa kuungana naye, tupate kuushiriki uadilifu wake mungu.

English

for he hath made him to be sin for us, who knew no sin; that we might be made the righteousness of god in him.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ninasikitika sana pamoja na wahanga wa mashambulio ya kinyama ya leo na jana, na ninasikitika na wale wote wanaathirika na ubaguzi mbaya sana unaotokana na matendo ya wauaji wa halaiki na kushindwa kwa sisi wanadamu kujiona kwa utambulisho mmoja.

English

my thoughts are with all the victims of today’s and yesterday's horrific attacks, and my thoughts are with all those who will suffer serious discrimination as a result of the actions of a few mass murderers and the general failure of humanity’s imagination to see itself as a unified entity.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika makala ya mitaa ya paris inavyonikumbusha mitaa ya beirut, joey anaandika kwa ustadi kuhusu "kushindwa kwa sisi binadamu kujitazama kwa sura ya usawa."

English

in the streets of paris are as familiar to me as the streets of beirut, joey writes movingly about "the general failure of humanity’s imagination to see itself as a unified entity."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mnamo jumapili tarehe 7 mwezi machi, dakika tano kabla ya kuanza misa; askari polisi wa jiji la larache waliingia kwenye nyumba yetu ya watawa na kumkamata mmoja wa watawa, rami zaki, ambaye ni raia wa misri na ambaye bado yuko katika hatua zake za awali za malezi na aliyekuwa anaishi na sisi kwa mwaka mmoja.

English

on sunday the 7th of march, five minutes before mass began; the police in the city of larache entered our friary and arrested one of our confrères, rami zaki, a young egyptian friar still in initial formation who was spending a year with us.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,794,482,050 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK