From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kufanya kazi kwa bidii
my hard work will take me far
Last Update: 2022-04-07
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nataka unichokoze kwa bidii
you don't want to fuck me
Last Update: 2023-02-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
jinsi ya kufanya kazi kwa bidii mijikenda
how to work hard in mijikenda
Last Update: 2023-11-20
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nisalimieni maria ambaye amefanya kazi kwa bidii kwa ajili yenu.
greet mary, who bestowed much labour on us.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ila mara tu alipofika roma, alianza kunitafuta kwa bidii mpaka akanipata.
but, when he was in rome, he sought me out very diligently, and found me.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
soma kwa jina la mola wako mlezi aliye umba,
read in the name of your lord who created,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 5
Quality:
Reference:
wanafanya kazi kwa bidii sana na bila ya kupata usaidizi wowote kutoka kwa wanafamilia wenzao.
they work so hard and receive no help from their family members.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kusoma kwake kwa bidii na kupendwa kwake na walimu kulimuwezesha kusoma elimu ya upili.
his hard work and favor from the teachers saw him through high school.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
pesa haina jinsia ya kufanya kazi kwa bidii na kupata pesa yako mwenyewe pesa ni unisex katika kiswahili
money has no gender work hard and earn your own money infact money is unisex in kiswahili
Last Update: 2025-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hatukula chakula kwa mtu yeyote bila ya kumlipa. tulifanya kazi kwa bidii na taabu mchana na usiku ili tusiwe mzigo kwa mtu yeyote kati yenu.
neither did we eat any man's bread for nought; but wrought with labour and travail night and day, that we might not be chargeable to any of you:
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
napenda mjue jinsi ninavyofanya kazi kwa bidii kwa ajili yenu, kwa ajili ya watu wa laodikea na kwa ajili ya wote ambao hawajapata kuniona kwa macho.
for i would that ye knew what great conflict i have for you, and for them at laodicea, and for as many as have not seen my face in the flesh;
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
akiwa katika uchungu mkubwa, alisali kwa bidii zaidi; na jasho likamtoka, kama matone ya damu, likatiririka mpaka chini.
and being in an agony he prayed more earnestly: and his sweat was as it were great drops of blood falling down to the ground.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
yeye anadai kwamba kuwaelimisha watoto wewe mwenyewe haitoshi, kuna haja ya kufanya kazi ya ziada kwa bidii kuelekea kukuza watoto wa wananchi wenzangu kuwahamasisha wao kuwa binadamu wazuri.
he asserts that educating own children is not enough, there is a need to work extra hard towards fostering the children of fellow citizens to inspire them to become good human beings.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa hiyo kama kutaki kuja kuchanganyikiwa baada ya kumaliza likizo yako na unataka kuwa makini zaidi na taarifa zako, soma kwa makini.
so, if you don't want post-holiday stress to be more serious for problems with your information, read carefully.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
jumuiya ya global voices na mtandao wa washirika wake wanadai haki kwa watu hawa, wote waliofanya kazi kwa bidii kupanua uwanja wa maoni ya kijamii na kisiasa nchini ethiopia kupitia blogu na uandishi wa habari.
the global voices community and our network of allies are demanding justice for these men and women, all of whom have worked hard to expand spaces for social and political commentary in ethiopia through blogging and journalism.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
jumuiya ya global voices na mtandao wa marafiki na washirika wetu tunadai kuachiwa kwao, kwa kuwa walifanya kazi kwa bidii katika kupanua fursa ya uchambuzi wa kijamii na kisiasa nchini ethiopia kupitia uandishi wa kiraia na ule wa kawaida.
the global voices community and our network of friends and allies are demanding the release of these nine men and women, all of whom have worked hard to expand spaces for social and political commentary in ethiopia through blogging and traditional journalism.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
maana, mbele ya mungu baba yetu, twakumbuka jinsi mnavyoonyesha imani yenu kwa matendo, jinsi upendo wenu unavyowawezesha kufanya kazi kwa bidii, na jinsi tumaini lenu katika bwana wetu yesu kristo lilivyo thabiti.
remembering without ceasing your work of faith, and labour of love, and patience of hope in our lord jesus christ, in the sight of god and our father;
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
awali ya yote napenda kushukuru kwa ujumbe wako uliojaa maneno matamu na yenye mvuto, na kisha mimi ni mzima kabisa na nimefurahi kusikia wewe piah ni mzima, cha kuzingatia mpenzi angu tambua nakupenda sana zaidi ya chochote na jitahidi kunitunzia na jitahidi kusoma kwa bidii nakupenda sana nakuombea kwa mungu ubaki salama
Last Update: 2023-10-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
askari polisi wa georgia wanaripotiwa kuwa wameweza kuwafuatilia na kuwapata waharibifu wa fikra waliohusika katika utengenezaji wa video za masihara ‘chafu na zinazotusi’ ambazo zilimlenga mkuu wa kanisa la orthodox na kusababisha aibu katika taifa zima kwenye nchi hii yenye kufuata dini kwa bidii.
the georgian police are reported to have tracked down the thought criminals responsible for "indecent and insulting" satirical videos which targeted the head of the orthodox church and caused a nationwide scandal in this fervently religious country.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting