Results for tafadhali tueleze ni kwa nini ram... translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

tafadhali tueleze ni kwa nini ramani hii haifai:

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

kwa hiyo ni kwa nini wakati huo, al-shabaab?

English

so why now, al-shabaab?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

abel aliwauliza majaji ni kwa nini hawakutoa ruhusa kwa washitakiwa kujieleza.

English

abel questioned the judges for not letting the detainees speak.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alijiuliza ni kwa nini wanafunzi wengi hawatumii mitandao ya uanahabari wa kijamii kusambaza habari:

English

he wondered why more students weren't using social media networks to spread the news:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nilishangaa, ni kwa nini mnaendelea kuunga mkono mfumo wa utawala?

English

i’d wonder, why are you supporting this regime?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ni kwa nini mtengeneza filamu yeyote ajitwike mzigo wa kuuwakilisha mji au nchi?

English

why on earth should any filmmaker be burdened with representing a city or a country?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika maojiano na mwandishi wa makala hii, chantra alielezea ni kwa nini kwa ghafla alihamasika kwenye mambo ya siasa:

English

in an interview with this author, chantra explained his sudden interest in politics:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nimejiuliza mara kwa mara ni kwa nini sisi wanaijeria hulalamika na huwa hatutoi ufafanuzi au suluhu za matatizo yanayotukabili.

English

i've often wondered why we nigerians complain and proffer no explanations or solutions to the problems that herald us.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapa kuna siri kuhusu ni kwa nini wabebaji virusi wasio na dalili hupatikana na kinachosababisha visa kali katika maambukizi ya binadamu.

English

herein lie the secrets of why asymptomatic carriers are seen and what causes the severe cases in human infection.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@lames7: maoni mazuri zaidi kutoka kwa nablus: “kama huwezi kuwatetea masikini, basi haupo kuwatetea wafungwa vile vile; tafadhali tuambie ni kwa nini bado uko madarakani!”

English

the nicest comment from nablus: "if you are not standing with the poor then you are not standing with the prisoners either; please explain to us why are you still in power!"

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

watu wengi wanauliza ni nini kilichotokea katika masaa ya mwanzo baada ya ajali na ni kwa nini ilichukua muda mrefu kuanza kutoa taarifa za ajali hiyo.

English

many people ask what happened during the first hours after the crash and why it took so long to start reporting on it.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hustling akili ni juu ya kila eneo la kaskazini (arusha, kilimanjaro) watu hasa vijana ni kwa nini sisi kuwa richers katika umri mdogo

English

hustling mentally is apon every north zone (arusha, kilimanjaro) people's especially young men that's why we become rich at a young age

Last Update: 2019-02-13
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hii inaeleza kwa upande ni kwa nini sars-cov-2 huenea kwa haraka na katika eneo pana zaidi kuliko sars-cov.

English

this partially explains why sars-cov-2 spread much faster and broader than sars-cov.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mpaka hivi sasa sielewi ni kwa jinsi gani julian assange alivyoyapata nyaraka ¼ milioni za mawasiliano au ni kwa nini anayachapisha ukuzingitia ukweli kuwa amesababisha mgogoro mkubwa wa kidiplomasia sio tu kati ya marekani na mataifa mengine bali pia baina ya mataifa kwa mfano misri na qatar kama utakavyoona.

English

up till now i do not know how julian assange got these 1/4 million cables or why he publishes them considering the fact he has created a huge diplomatic crisis not between the u.s and other countries but also between countries themselves like for instance egypt and qatar as you will see.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wakati umoja wa mataifa ukizindua mpango wake wa kulinda amani kwa kutuma wanajeshi 1,500 nchini jamhuri ya afrika ya kati, wafuatiliaji wachache wanajiuliza ni kwa nini uamuzi huu ulichukua muda mrefu pamoja na kuwepo kwa wahanga wengi wa machafuko.

English

as the un launchs its peace keeping mission with the arrival of 1,500 troops in the central african republic (car), a few observers were wondering why it took so long given the extent of the casualties.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

binafsi, sikuwahi kuelewa ni kwa nini wafuasi wengi wa dini yangu wako radhi sana kuuwa au kuwajeruhi hadi kuwaachia ulemavu wa kudumu wale ‘wanaokashifu’ uislamu, nabii muhammad au kurani.

English

personally, i've never quite understood why so many of my co-religionists are so keen to kill or maim those who 'insult' islam, prophet muhammad or the quran.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

abdullah waheed, mzungumzaji asilia wa ki-dhivehi - lugha "rasmi" ambayo haina wazungumzaji wengi visiwani maldives - anafafanua katika mfano mmoja ni kwa nini uhifadhi wa lugha ni muhimu:

English

abdullah waheed, a native speaker of dhivehi – an "official" language yet one with not many speakers in maldives – explains in one example why language preservation matters:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
7,730,093,672 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK