Results for taftishi translation from Swahili to English

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

English

Info

Swahili

taftishi

English

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

taftishi hii ilikuja katika kilele cha matukio ya khalid hasa kwa umaarufu wake kutokana na vipindi vyake vya tv vya wakati wa ramadhani, hivyo hicho kilichangia sana matokeo hayo na bila shaka nafasi ya dini katika maisha yetu.

English

this survey came at the seasonal peak of khalid’s popularity after his ramadan tv shows this year contributed much to this result besides of course the role of religion in our lives.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwanablogu ahmed shokeir aliendesha taftishi ya kutafuta watu 10 wenye ushawishi zaidi nchini misri baada ya kushangazwa na matokeo ya gamal mubarak, mtoto wa rais hosni mubarak wa misri - kama mmoja wa washindi 100 wa mwisho wa mwaka 2009 wa time.

English

blogger ahmed shokeir conducted a survey to find out the 10 most influential people in egypt after he was surprised to find out that gamal mubarak, son of egyptian president hosni mubarak — who is expected to succeed his father — was among the 2009 time 100 finalists . shokeir writes: the real surprise was the second arab influential person after sheikh ahmed bin zayed al nahyan, abu dhabi investment authority managing director who was ranked as number 13 with more than 839 thousand votes. for the first time gamal mubarak's name shows up on the time list in the 18th position with a slight difference (832,593 votes).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

dalili kwamba mambo si mazuri zinafanywa kuwa bayana zaidi hasa kupitia matokeo ya siku za karibuni ya kura za maoni zilizoendeshwa na research and education in democracy in tanzania(redet), ambacho ni kituo cha utafiti kinachomilikiwa na serikali na kinachopatikana pale chuo kikuu cha dar es salaam, synovate ya kenya na taftishi nyingine mbalimbali za mtandaoni kupitia daily news, uhuru na thisday la bwana reginald mengi.

English

signs that all is not well are clearly brought out in the latest opinion results conducted by research and education in democracy in tanzania(redet), a state owned research center housed at the university of dar es salaam, synovate of kenya and several online surveys conducted by daily news, uhuru publications and thisday newspaper published by reginald mengi’s outfit.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,764,020,361 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK