Results for tahadhari haijulikani translation from Swahili to English

Swahili

Translate

tahadhari haijulikani

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

tuchukue tahadhari!

English

let us be on our guard!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ishara za tahadhari

English

early warning signs

Last Update: 2025-01-13
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hao ni maadui; tahadhari nao.

English

they are the [real] enemies, so beware of them.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapakuwa na maonyo ya tahadhari.

English

there were no warnings.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bado haijulikani bakiev atapatwa na nini.

English

it is still unclear what will happen to bakiev.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aina ya simba ya: %s haijulikani

English

unknown encoding of: %s

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:

Swahili

tahadhari imeondolewa. hutapokea barua pepe ya mada hii.

English

tahadhari imeghairiwa. hutapokea barua pepe za mada hii.

Last Update: 2022-10-18
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

haijulikani ikiwa kutoweka kwake kunahusishwa na mahojiano hayo au la.

English

it is unknown whether her disappearance is connected with the interviews or not.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

amejaribu kureje kwa ndege jijini bujumbura lakini haijulikani kama alifanikiwa.

English

he has tried to fly back to the capital city but it is unclear whether he has succeeded.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

miji ya ki-afrika haina habari na umuhimu wa kuchukua tahadhari.

English

african cities are hopeless in that regard.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nawe tahadhari nao wasije kukufitini ukaacha baadhi ya aliyo kuteremshia mwenyezi mungu.

English

and beware of them, lest they lure you away from some of what god has revealed to you.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

haijulikani ikiwa moja kati ya hizi mbili husababisha faida sawa kwa watu ambao ni wagonjwa sana.

English

whether either of these two leads to the same benefit for people who are critically ill is not known.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

imnakoya alieleza matumaini yenye tahadhari ambayo wengi kwenye ulimewengu wa blogu wameyaonyesha:

English

imnakoya expressed a cautious optimism shared by many in the blogosphere:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mkutano wa dharura ulifanyika jijini antananarivo tarehe 5 agosti kutazama kwa karibu tahadhari zinazoweza kuchukuliwa.

English

an emergency meeting was held in antananarivo on 5 august to look closely at the precautions that need to be taken.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hatua hizi zinakusudiwa kuhakikisha kuwa hakuna mwingiliano usiofaa wa mila na desturi ikiwa ni pamoja na tahadhari za kiusalama.

English

the measures are meant to guarantee there is no clash with traditions and customs in addition to security considerations.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

alama ya tahadhari iliyoning'inia pembeni mwa uzioikisomeka, "hatari, usikaribie."

English

a warning sign hung beside the fence reads, "danger, don't come near."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

katika makala ya maoni kwenye blogu mpya ya habari kwa lugha ya kiingereza iliyozinduliwa, inge snip anapiga kengele za tahadhari.

English

in an op-ed piece on the newly launched english-language news blog, inge snip sounds the alarm bells.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

bado haijulikani iwapo uzito au kiwango cha udhibiti wa hali sugu za afya huathiri hatari ya ugonjwa mbaya unaohusiana na covid-19.

English

it is not yet known whether the severity or level of control of underlying health conditions affects the risk for severe disease associated with covid-19.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kutoka chile zilikuja ripoti za watu kutakiwa kuhama makazi kwenye maeneo ya ukanda wa pwani ya kaskazini kuchukua tahadhari dhidi ya uwezekano wa tsunami:

English

from chile came reports of evacuation from cities along the northern coast in anticipation of a possible tsunami:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

alitahadharisha kwamba kwa sababu miamba iliyo chini ya india inaendelea kusukuma kuelekea bara asia, basi myanmar haina budi kuwa kwenye tahadhari siku zote na hasa kwa siku za usoni.

English

he also warned that because the indian plate keeps pushing into asia, myanmar should be on alert for earthquakes in the future.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,928,723,598 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK