Results for takriban translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

takriban watu 364,000 wamepona.

English

about 364,000 people have recovered.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

5 pln + vat kwa siku 7 (takriban euro 1.25)

English

the new intro gave readers three options: 5 pln + vat for 7-day access (approx.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je, dalili hizi zimekuwa zikiendelea kwa takriban muda gani sasa?

English

about how long have these symptoms been going on?

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

9 pln + vat kwa mwezi mzima (takriban euro 2.1)

English

1.25 eur) 9 pln + vat for full-month access (approx.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

virusi vya korona husababisha takriban asilimia 15 ya mafua ya kawaida.

English

coronaviruses cause about 15% of commons colds.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tangu kuzinduliwa, takriban jumbe 3,000 za simu za mkononi zimepokelewa.

English

since the launch, approximately 3,000 sms messages have been received.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

takriban baada ya siku tatu, video hiyo imetazamwa na watu zaidi ya laki sita.

English

in less than three days, more than 600,000 people have watched it.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kufikia 10 aprili 2020, takriban vifo 97,000 zilihusishwa na covid-19.

English

as of 10 april 2020, approximately 97,000 deaths had been attributed to covid-19.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

licha ya hayo, viwango vya kubadilika kwa cov ni takriban mara milioni zaidi ya vile vya wabebaji wake.

English

nevertheless, mutation rates of covs are about a million times higher than those of their hosts.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata alipo fika baina ya milima miwili, alikuta nyuma yake watu ambao takriban hawakuwa wanafahamu lolote.

English

after this to the middle of two mountains where he found a people who could hardly understand a single word.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

takriban vijana 400 wa nepali walijitokeza sehemu ya maitighar mandala tarehe 8 mei, 2011 na kudai katiba mpya.

English

around 400 nepali youth showed up at maitighar mandala on may 8, 2011 to demand a new constitution.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mnamo januari na februari 2020, wakati janga lilikithiri zaidi wuhan, takriban watu milioni 5 walipoteza kazi zao.

English

in january and february 2020, during the height of the epidemic in wuhan, about 5 million people in china lost their jobs.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aina ya wuhan imetambuliwa kama aina mpya ya betacoronavirus kutoka kwa kundi 2b na takriban asilimia 78 kufanana kwa kimaumbile na sars-cov.

English

the wuhan strain has been identified as a new strain of betacoronavirus from group 2b with approximately 70% genetic similarity to the sars-cov.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, pia vinahusiana kwa njia sawa kwa karibu na ratg13 kwa takriban 90% ya utambulisho katika ngazi ya mfululizo wa nukleotidi.

English

however, they are equally closely related to ratg13 with about 90% identity at the level of nucleotide sequence.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alisema kuwa hawaruhusiwi kuhudumia asilimia takriban 80 ya simu zote zinazotokea kaskazini, amabpo ni sehemu za beit lahia, beit hanoun, na jabalia.

English

he said they are not being allowed to attend to about 80% of the calls from the north, covering the beit lahia, beit hanoun, and jabalia area.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

japokuwa takriban watu wapatao milioni 5.7 nchini afrika ya kusini wanaishi na vvu, kwa mujibu wa waandalizi wa mradi huo ni asilimia 5 tu ya watu wamepimwa virusi hivyo.

English

even though roughly 5.7 million people in south africa are living with hiv, according to the project's organizers just 5 percent of the population has been tested for the virus.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kando na vienezi vikuu, ilikadiriwa kwamba kila kisa kingeibua takriban visa viwili vya pili na kipindi kati ya kuambukizwa na kujitokeza cha siku 4 hadi 7 na upeo wa kiwango cha virusi ukionekana siku ya 10 ya ugonjwa.

English

apart from the super-spreaders, it was estimated that each case could give rise to approximately two secondary cases, with an incubation period of 4 to 7 days and the peak of viral load appearing on the 10th day of illness.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

barabara kuu imefungwa kutokana na mapambano hivyo wanatembea kwa miguu kukatiza misitu kusini mwa mbuga, kuelekea kibumba, takriban kilometa 20 hivi zaidi,ambako tunatarajia kwenda kuwachukua kwa kutumia malori.

English

the main road is blocked because of the fighting so they are walking through the forests of the park south, to kibumba, about 20km away, where we aim to pick them up in trucks.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kufikia tarehe 10 aprili 2020, takriban visa milioni 1.61 vya covid-19 vimeripotiwa katika mataifa na himaya 210, na kusababisha takriban vifo 97,000.

English

as of 10 april 2020, approximately 1.61 million cases of covid-19 have been reported in 210 countries and territories, resulting in approximately 97,000 deaths.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwamba hassan alisema siku ya tarehe 31 machi 2020 saa takriban 1000hrs kwenye uwanja wa opec mine block d kule mirerani wilayani simanjiro mkoa wa manyara kuwa dereva na incharge ya gari na reg.no. t954aex fanya bedford iweze kuendesha gari iliyosemwa kwa uangalifu na matokeo yake uligonga nguzo moja ya umeme na ukasababisha uharibifu wa miundombinu ya umeme

English

that hassan s/o saidd mzava on the day of 31st march 2020 at about 1000hrs at opec mine block d in mirerani at simanjiro district in manyara region being a driver and incharge of a motorvehicle with a reg.no. t954aex make bedford you drive the said motorvehicle carelessly and at result you knocked one electric pillar and you caused damage to electricity infrastructure

Last Update: 2020-04-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,911,723,680 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK